Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Uzi wangu naona mnanitukana tu sorry kama nimekosea sehemu
 
Nilipokuwa na miaka 38 nilikuwa tayari nina mke, watoto wawili wakiwa wanasoma, nyumba mbili za maana, gari mbili, shamba la hekari 15, Kiongozi kazini, elimu ya degree mbili na proffession qualifications, nilikuwa nawatunza wazee wangu, namiliki duka Kariakoo. Wewe na umri wako huo unafikiria baba yako agawane mali alizoziangaikia ili ukahemee. Bado unaishi kwa marafiki. Kuna tatizo kwenye ubongo wako. Nimekufuatilia toka ile topiki yako ya kwanza hujijui tu ila nahisi dish limeyumba. Kuhusu siasa mie hata sihusiki naongelea fikra zako. Una matatizo
 
Miaka 38? kweli bado unalilia mali ya baba? kwani wewe huoni chanzo cha matatizo yako? Baba yako anaona wewe hutaki eti mama yako amekuelewa!! rubbish!!
 
Huyu ni pimbi ataelewa saangapi? Miaka 38 bado upo kwenu mpaka ufukuzwe pumbavu kabisa hili,halafu ana mpangia baba yake cha kufanya inge kuwa mimi unaondoka nakipigo juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😃😃😃 Maajabu hayawezi kuisha.
 
Huyu Jamaa ni Psychiatric case yaani inatakiwa uwepo Milembe muda huu...!! Na huu ndio ubaya toto la kiume kudekezwa sana na mama yake yani tabia za kilofa lofa tu na mama yako nae kakurithisha hadi Uzezeta..
 
Huyu atakuwa ni wa mikoani aliyehamia Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB: Vipi nawe ulipata bahati ya kulisikia tetemeko la ardhi huko kwako? Huku Mfaranyaki sikusikia chochote hiyo 8:20pm nilikuwa nakula mahindi ya kuchoma [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimelisikia kwenye mitandao mkuu, nawe umeanza kula mahindi ya kuchoma kama mwenyekiti wako?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Namlaumu baba ako kwa kutokutumia condom kama angetumia mjinga wewe usingekuwepo na tungekua na mpuuzi 1 pungufu wa CCM. Huyo mama ako anaweza akawa mchawi maana binadamu wa kawaida haishabikii CCM, amtandike talaka na makofi juu
 
Mimi naona jamaa anatuenjoy tu. Hivi kuna akili za hivi kwa kizazi hiki??
 
Siku Huyo mwanaume unayepambana kumnyanganya mke akijakukuinamisha wewe ili uwe mbadala wa mke wake ndipo utajua kuwa siyo vema kubishana na wanaume!! Shenzi kasoro mkia!!
 
38 yrs ! come on man...
Yaani hata mimi nimestuka sana hapa! 38 years hajaanza kujitegemea, anakula na kulala kwa wazazi. Umri huo alipaswa awe na familia yake yaani mke na watoto wasiopungua wawili.

Mungu amfanyie wepesi ndugu yetu huyo!
 
Halafu thread nzima anaongelea mali za baba yake aliyozichuma kwa jasho, kwamba mama apate mali za baba akae karibu yake. Baba huyohuyo aliechangia masomo yake mpaka kupata hiyo degree anayojivunia.
Hatari sana! Ndo ujue kwamba hawa watoto tunaowalea na kuwasomesha kwa gharama kubwa sio mali yetu. Ni mali ya mama zao!!!!
 
Nyie ndiyo wale Kaka zenu wakiwa na mali mnawaombea wafe, ili mbali na mali na kufukuza mke na watoto, katafute maisha yako huko waache hao wanandoa wataelewa huko chumbani kwao?
 
Habarini ndugu zangu poleni na majukumu,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu level ya degree. Yapata miezi 6 sasa siongeai kabisa na baba yangu kisa tu alinifukuza nyumbani nilipokuwa nakaa (nadhani nilishaeleza hapo nyumba kwenye nyuzi zangu) labda nikumbushie kidogo, mimi ni kada mtiifu wa Chama cha Mapinduzi, nilijaribu kumshawishi baba ajiunge na chama na apigie kura Chama cha Mapinduzi kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa.

Hiyo ilikuja kuibua mtafaruku mkubwa sana kati yangu mimi na baba yangu na kupelekea kunitaka niondoke nyumbani kama najiusisha na mambo ya siasa, tulipelekana mpaka kwenye ofisi ya kata maana sikustahili kuondoka nyumbani wakati pale ni kwetu na mimi ni mtoto wake.

Sasa baada ya mzee kutokunielewa mimi, mama yangu alinielewa vizuri kabisa na alikuwa ni mhudhuriaji mkubwa sana wa vikao vya chama, juzi mama alinipigia simu usiku akaniambia baba amebadilika amekuwa ni mtu wa matusi na kelele nyingi akirudi, anamuambia mama kwenye nyumba yake hataki kabisa watu waojiusisha na mambo ya siasa hususani mambo ya Chama cha Mapinduzi, mama alisema Jumapili walikuwa na kikao cha chama cha shina, aliporudi nyumbani jioni mzee alimtukana matusi mazito sana na kumtaka aondoke mara moja pale nyumbani kama anajishughulisha na mambo ya CCM.

Nimemshauri mama kama vipi aende mahakamani adai talaka ili wagawane mali ili mama atafute sehemu yake ya kukaa na mimi niwe karibu nae maana kwa sasa baba alishanifukuza nyumbani sina pa kukaa nakaa kwa rafiki yangu tu huku Buguruni,

Baba yangu amekuwa na tabia za ajabu sana yani huyu mzee.

Naombeni ushauri wenu wakuu, ili nimshauri mama ikiwezekana kwenye mali apate sehemu kubwa ya mali maana huyu baba ni mnyanyasaji sana.

pia kama kuna mtu ana kazi naomba anisaidie ndugu zangu nimesomea marketing degree, maana nahishi maisha magumu mnooo na baba alinifukuza nyumbani kisa mimi mpenzi wa Chama cha Mapinduzi.

Kaka unataka kutengeneza sheria mbele ya mzee
Mzee kajenga, katafuta mali ndo mana anaweka utaratibu anaoutaka.
Maana yake ni kwamba kama hukubaliani na utaratibu simple and Clear ondoka.
Mzee yupo sahihi kabisa, kama unataka kuwa na kiburi kama cha baba yako tafuta vyako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Weweeee mchokozi sana Mtende ila mimi sipigi picha wala sitaki kupigwa picha nikiwa busy nakula mahindi ya kuchoma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimelisikia kwenye mitandao mkuu, nawe umeanza kula mahindi ya kuchoma kama mwenyekiti wako?
 
Back
Top Bottom