Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Hii inafikirisha saa Mkuu unaweza tamani siku moja utembeze Bakora kwenye vichwa vya watu kurestall sytem hatuwezi kwenda hivi yaani kwa mawazo ya kishirki kama hivi.................
Ndio maana wengi wao sio wakujituma wanategemea vihongo vidogo vidogo vya hapa na pale maisha yao yaende ukimuuliza Sera za chama chako hazijui yeye anachijua ni ukerekweta na ushabiki usio kuwa na maana yeyote kiufupi wanashida kuliko Wa upinzani.
 
Huko CCM hawakulipi ujenge kwako? Wewe nu nani umpangie baba yako jinsi ya kuendesha familiya yake?
 
Una miaka 38 una degree, unakaa kwenu, na sasa unalazimisha kukaa kwenu, kwa kweli Baba yako ana haki ya kuwakataza mambo ya Chama maana yanawaharibu...

Mama yako anatakiwa athaminishe ndoa yake na huo ujinga wa chama, probably ndoa ni ya muhimu and then aachana na huo ujinga wa chama!

Na wewe uache huo ujinga wa kusumbuka na mahusiano ya Mamako na Babako, Mamako anatakiwa ajadili hayo mambo na watu wengine na sio wewe!

Hapo kwenu mwenye akili ni Baba yenu tu!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Bilashaka hujitambui,msomi wa wapi wewe ?

Yaani ccm ndo iwe chanzo cha kuvunja familia, halafu unajimwambafai utenganishe ndoa ya wazazi, na akili yako unawaza mali ya mzee wako maana unachoamini wakigawana mali basi ule share ya mama yako, andazi kweli wewe kwa umri huo unaleta pumba kama hizi jf

Elimu haijakusaidia kama kweli una degree,mpaka hapa ushafeli
Kulikuwa na haja gani kulazimisha familia yako wawe ccm? Kwann usijihusushe wewe kama wewe kama umeona inafursa kwako, hao wazee wananufaikaje na ccm zaidi ya kivunja ndoa yao? Jitathimini
 
Wewe jamaa nimecheka sana yaani unataka ukae karibu na MAMA na CCM halafu bado unataka mali za baba [emoji23][emoji23][emoji23] halafu una 38 unakaa home...[emoji23][emoji23]

Sikiliza nyimbo ya TX moshi
 
  • Thanks
Reactions: THT
Babako ana akili sana, amefikiria, hili boya nimelisomesha mpaka limemaliza Chuo, lina Degree, miaka 38 sasa. Baada ya kuangalia mzizi wa tatizo lake, lina kaa kuhudhuria vikao vya kipuuzi, bora liende likashinde kwenye vikao huko lipige tarumbeta.

Mama yako nae anakuja
Mpe hongera mzee wako, ni Jembe Sana

Hapa Kazi Tu.
 
  • Thanks
Reactions: THT
dah... 38

Unakaa home
Huna maisha
Wewe Ni kada

Thread nzima unaongelea mali za baba yako...

Nenda Lumumba wewe na mama yako mkapewe maisha!
 
38yrs!! Upo nyumbani na unamlaumu baba yako, ukiamua kukaa nyumban fata Sheria za mzee wako tofauti na hapo nawe uwe na kwako uweke Sheria zako...usiingilie ugomvi wa wazazi wako huwez jua tatzo ninini....
Yote kwa yote tatizo ni CCM huwez jua CCM imemfanya nn mzee wako.
 
Age mate wangu unakwama ulitakiwa umri huo uanze kuwasaidia wazazi wako na siyo kutaka uridhi wakati wazazi hawajafa
 
Kuna watu hawaelewagi nyuzi za huyu jamaa, someni kwa IQ kubwa mtamuelewa nyuzi zake
Mnaokaa kumponda mnakosea, huyu hayuko hivo asilimia zote kuna ujumbe anaufikisha ila mnashindwa kuung'amua
 
Unaingilia ndoa ya wazazi wako? kwanza umeoa?

Sasa kushabikia kwako chama kumekusadia nini?

Baba ako anakuona mjinga mjinga sababu huna vitu vya msingi vya kufanya eti na mshauri mama aende mahakamani waachane!! We unajua baba yako alimtoa wapi mama yako? Ulikuwepo wakati wanachumbiana?untk uwe karibu na mama yako ili uanze kumuomba hela au

Tafuta kitu cha msingi cha kufanya

Kama unashabikia chama chochote cha siasa na hupati maslahi flani ujue ni kwasababu umekuwa mpuuzi tafuta cha kufanya, watu wanashabikia viongozi sio chama
 
Back
Top Bottom