Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

Lazima kuna kitu nyuma ya pazia.
Kwanin mzee hapend siasa zako.

Inshort mie nipo upande wa dingilai, wew kwanin hutaki kumsikiliza yeye anataka ufanye kazi zipi? Na isitoshe kuna sehemu anakusupport hila hutaki.
 
Yaani wataka mama yako achane na baba yako kisa upate mahali pakuishi na huo umri kwani mama yako anaona shida gani kuachana na siasa ili kuilinda ndoa yake mbona hapo jambo ni dogo baba hataki siasa kwake achaneni nazo kwako mpaka sasa zimeleta mafanikio gani ikiwa uko unaishi kwa rafiki yako mshauri mama yako achane na siasa na ailinde ndoa yake
 
Kama baba yako kaishi na wewe kwa miaka 36 lets say mpaka umemaliza degree na bado unaishi maisha magumu kwa ushabiki wako tu wa vyama na unamuona mnyanyasaji, ni ajabu?

Bughuruni na Lumumba yalipo makao makuu ya chama si mbali na hapo Bughuruni kwa nini usijieleze kwa viongozi wako wa chama wakupatie kazi ikiwa wewe ni mwanachama safi?

Wewe ni mzee na unahitaji kujitegemea ikiwa utaendelea kumchokoza mzee wako hata kumvunjia ndoa yake kweli unadhani kwa umri huo ataolewa na chama?

Kama usipobadilika unaweza ukaingiwa na roho ya uchawi na jinai.
 
Sijafikisha Umri ulionao wewe lakini hata kabla sijafika umri nilionao sasa sijawahi waza Utopolo wa Grade hiyo mimi nadhani shida inaanza kwa chama unachokishabikia pamoja na Degree yako ya Marketing unataka kumtumia Mama kupata mali sasa pesa walizotupa bure kukusomesha kwanini wasingesaidia maskini wakapata baraka, yaani kushabikia kote huko umekosa pesa au dili mpaka ukatafute laana ya kuvunja ndoa ya wazazi wako hebu kuwa serious ila nimeogopa ni wanachama wangapi wa green party wenye mtazamo kama wako no wonder nchi inaenda inavyoenda... tuaminishe hapa kuwa huu ni mtizamo wako biafsi wa maisha na si wanachama wote khaaaaaaaa?
 
Baba yako alikuwa anakutafutia sababu tu yakukufukuza...... Miaka 38 duh aiseee see
 
Problems with my wife don't discuss 'em..

- The Notorious B.I.G "Gettin' Money".
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mwana mwenye hekima humfurahisha babae bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye Mithali
Mtoto wa kiume umeungauna na mama jiandae mbeleni ukiwa na familia yako mkeo na wanao watakufanyia tu ulivyomfanyia baba'ako.

Baba hata aje amelewa matusi na kujikojolea ondoka alipo usishindane naye tena kwa kuungana na mama'ako.
Nenda katafute suluhu na baba'ako acha kumshawishi mama aombe talaka, (unamnyang'anya mzee usingizi wake) unaitafuta laana mwenyewe.

Mzazi ni hazina usiegemee kwa mama jipambanie na usiingilie ugomvi wao.
 
Yaani wewe ni zaidi ya matako. Miaka 38 unakaa kwa baba, tena unakuja kuleta pumba zako humu. Eti pale ni kwenu. Kwenu wewe na nani? Matako kabisa wewe. Ukiendelea na hiyo tabia na mama yako mtamuua mzee wa watu. Tafuta kwako. Siyo kukaa kwa baba.
 
Hicho chama unachokitumikia kwa moyo mpaka kinasababisha ufukuzwe nyumbani na kimemfikisha mama yako sehemu ya kutaka kutengana na mmewe kimekusaidiaje mpaka hapo?
Huwa nikiwafuatilia wanachama hasa ccm katika maisha huwa wanakua na matatizo ya ajabu sana harafu huwa hawajiamini
 
Huwa nikiwafuatilia wanachama has a ccm katika maisha huwa wanakua na matatizo ya ajabu sana harafu huwa hawajiamini
Hii inafikirisha saa Mkuu unaweza tamani siku moja utembeze Bakora kwenye vichwa vya watu kurestall sytem hatuwezi kwenda hivi yaani kwa mawazo ya kishirki kama hivi.................
 
Back
Top Bottom