Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

.......U

......Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu level ya degree...

......Nimemshauri mama kama vipi aende mahakamani adai talaka ili wagawane mali ili mama atafute sehemu yake ya kukaa na mimi niwe karibu nae...
Unalaana wewe......
Umtenganishe mamako na baba we ukae naye!!!
 
Una lazimisha baba apende chama chako sre u insane???
 
Miaka 38 unakaaje nyumbani
 
Ndio mkuu ila mwakani naweza kuondoka nikipata kazi
Mh brother mtoto wa kiume hapigiwi filimbi ulitakiwa uondoke siku nyingi sana ukapambane hakuna kazi inakuja nyumbani, da nimeshangaa sana miaka 38 uko nyumbani duuu
 
Toto jinga wewe unataka wazazi waachane. Mwache mama afanye maamuzi mwenyewe.
Baba hakukosea kukufukuza
 
Nenda pale lumumba kamuombe kazi bashiru, wewe ni zoba ningekuwa mimi babako ningetengua hata kiuno, yaani umesoma bure halafu unakuwa pumbavu wa kijani
 
Shenzi mwili wote, we utachuma lini mali una 38 miaka nado unashoboka na mali za baba na unataka kumyanganya baba yao mke ili ukae nae wewe ole wako apate mimba mke wa baba yako utatueleza

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
Shenzi mwili wote, we utachuma lini mali una 38 miaka nado unashoboka na mali za baba na unataka kumyanganya baba yao mke ili ukae nae wewe ole wako apate mimba mke wa baba yako utatueleza

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
dah mkuu mbona umefika mbali sana aisee
 
hapana bado sijaoa mkuu, wengi wanawake wananikataa kisa sina ela wala kazi
Basi una matatizo makubwa mzee mwenzangu. Baba yako wala hana tatizo...una waaibisha wana chadema wenzako.
 
Ila km ilivyosema,hapo ni kwenu kwahiyo mfukuze baba yako arudi kwao,alafu miaka 38 mbona mdogo sana ulikubalije kutoka kizembe hiyo kwenu
 
dah mkuu mbona umefika mbali sana aisee
Mali ametafuta yeye kwa nguvu zake, wewe unamshawishi mama yako wagaqane ili ukae na mama yako wakati una miaka 38 ni mzembe wa kiwango cha lami! Jitafakari sana mika 38 ni ngumu kuajiriwa
 
wewe hujitambui, unataka kuchukua mali kwa kupitia kuvunja ndoa ya mamako? huna haya kabisa... Tafuta ndoa yako ndio uvunje???
Kisa siasa, hao kwenye siasa wanakujua , mbona hata serikali ya mtaa hujagombea? au ninyi ni wale wanaosubiri buku saba au kupewa fulana ??? Unatia aibu na kinyaa, ungekuwa karibu yangu ningefunda kiutu uzima..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…