Unaweza ukasema kwa urahisi kwa kuwa hayajakufika, uhai wa mtu ni bora zaidi.Hiyo ni Madale karibu na kwa Mzee Kawawa...
ila kuhusu ukubwa wa eneo na bei yake ni km Ardhi na Mbingu..
Angalizo..
Wanunuzi wa hilo eneo wawe zaidi ya makini...
Poleni sana ndugu MTU chako kikufaacho wakati wa shida,afya ni muhimu kuliko mali Mola atamfanyia wepesi Mzee atakuwa sawa tuUkubwa wa kiwanja chote ni heka 2, lakini kulingana na dharura tunauza heka moja, ndio bei niliyoitaja.
Options zipo nyingi...Unaweza ukasema kwa urahisi kwa kuwa hayajakufika, uhai wa mtu ni bora zaidi.
Options zipo nyingi...
Akiweke Dhamana Bank
atapewa Mkopo......
Muombe sana Mungu wako, ili haya yote yasikukute.Mwenye tatizo la namna hiyo hawezi kuuza kwa bei hiyo.
Soma majira kiongozi.
Sipo kusingizia ugonjwa wala kitu chochote, hiyo ni bei ambayo tumekaa kama familia tukaamua kuuza kwa milioni 20, uzuri kiwanja hakina mgogoro wowote, kina nyaraka zote muhimu, majirani wanafahamu hata kwenye ngazi ya serikali za mitaa.People stukeni, yawezekana ni kweli jamaa yetu ana uguza, ila kwa maeneo hayo, halafu kwenda moja kwa moja kwamba unauza heka moja milion 20, napata wasiwasi. Je mleta Tangazo, ulishawai kutangaza kwamba unauza hicho kiwanja, lets say kwa gharama hiyo hiyo milion 20, bila kuainisha kwamba Mzee wako anaumwa halafu ukakosa mteja? Watu wengi wamekuwa na doubt kutokana na maelezo mengi uliyoandika, kiwanja ni kikubwa na ni kizuri, am sure ungeandika tu kwamba kinauzwa hata milion 25, bila kuweka hayo maelezo mengine ungepata mteja. Kuweni makini wana JF
[HASHTAG]#TooGoodToBeTrue[/HASHTAG]