JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
dah...pole sana jamani..Muombe Mungu akusaidie wanaopinga uchawi haupo hayajawatokea
Hizi roho chafu zipo tena zimezagaa la muhimu ni kushikilia imani yako na kumuomba Mungu kwa nguvu zote ili akuepushe.