JICHO LA 3
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 356
- 62
Mchanie tuu hawezi kufanya lolote sana sana ndio atakuogopa, halafu siri moja ya wachawi hawamuamini mtu wanafikiriaga kila mtu niNataka nimchane Laivu, ila sijui ndo makombora yote atayaelekeza kwangu?
Mimi kama mimi siamini uchawi upo na najua nikikaa na wewe ukanielewesha vizuri nitakupa sababu kwa most of hivyo vitu. NIngekushahuri uache uoga maana uoga wako wenyewe ndio utakusababishia matatizo.
Nauna unaamuni Mungu yupo, basi endelea kumtegemea. Usisemi jibu linachelewa, Jibu litakuja when needed, kwa sasa Mungu anajua bado unanguvu la kujishindia hapo, kupitia imani yako. Kumbuka Mungu hawezi kumwacha shetani akujaribu juu ya nguvu yako.
Jaribu kum-ignore na kuendelea maisha kama kawaida, achana nae kwa muda na wala usimuogope kabisa.
@Gaijin;
Umechangia kiasi kwa mie ku-post hii thread baada ya kuona ulivyo-comment kwa mtu mmoja aliyesema kaka yake karogwa. Nikaona na mie nipost hiki kisa changu maana naona imani inaanza kutiswa na ibilisi. Jamani If I could give you details of my story, mtashngaa tunayofanyiwa na huyu mtu. Any way thanks for your comments, will help me to stand still and let God move katika kipindi hiki kigumu. So sad to see the people you grew up together happily going mud for no reason.
Imagine the position of our mom, I cant tell.