Anaambukiwa!!Anaambukiwa Watu Covid.
Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...Ni muhimu sana kujua tamaduni za watu. Siku moja kulikuwa na mkutano kati ya wadhamini wa kikundi cha wanawake na wanawake hao pamoja na wanajamii huko kilimanjaro.
Baba mmoja katika kuchangia, akasema anamwona mwanamama wa kizungu pale hana mume, kama vipi aende amfanye awe mke wa pili.
Kwa mtanzania ule ni utani kutokana na mila zetu, ila kwake yeye aliona kama ame muharass haukuwa utani.
Sina hakika kwa huyo dada wa Qatar, ila wahudumu wa ndege wameshakutana na mengi atakuwa anajua jinsi ya kuyahandle.
Alikaa kimya ila baada ya ule mkutano ndipo akaonyesha kutopenda ikabidi aeleweshwe ule ni utani kwa watanzania ni kitu cha kawaida kwa utani kama ule. Kwa sasa ashazoea maana kwa kipindi hicho alikuwa mgeni na sasa ana zaidi ya miaka 3 huko.Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...
Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...
Jamaa alimuelewa huyo hostessMtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.
Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.
View attachment 2430423
Wahudumu wa ndege Wana uzoefu wa kukutana na malimbukeni, so hivi ni vitu vya kawaida kwao.
Unapo kuwa katika nchi za watu wewe mgeni ndio una wajibika kufahamu wenyeji wana ishi vipi na tamaduni zaoAlikaa kimya ila baada ya ule mkutano ndipo akaonyesha kutopenda ikabidi aeleweshwe ule ni utani kwa watanzania ni kitu cha kawaida kwa utani kama ule. Kwa sasa ashazoea maana kwa kipindi hicho alikuwa mgeni na sasa ana zaidi ya miaka 3 huko.
Tamaduni za watu zinatofautiana ndio maana hata kwenye localization hata kama docs ziko kwa kiingereza, bado watatafuta mtanzania azipitie na afanye marekebisho kwasababu language ni culture, kuna maneno mengine humo yanaweza kuwa kwingine kawaida ila kwa jamio fulani ni matusi au huwezi kuyazungumza kwenye kundi la watu.
Ndio hicho ninacho kizungumza... mgeni una takiwa kufahamu taratibu zote zilizopo ktk nchi husika...Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.
Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.
View attachment 2430423