Babalevo ambusu mfilipino wa Qatar Airways

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Ndani ya ndege kwenda Qatar
IMG_20221128_205443.jpg
 
Ni muhimu sana kujua tamaduni za watu. Siku moja kulikuwa na mkutano kati ya wadhamini wa kikundi cha wanawake na wanawake hao pamoja na wanajamii huko kilimanjaro.

Baba mmoja katika kuchangia, akasema anamwona mwanamama wa kizungu pale hana mume, kama vipi aende amfanye awe mke wa pili.

Kwa mtanzania ule ni utani kutokana na mila zetu, ila kwake yeye aliona kama ame muharass haukuwa utani.

Sina hakika kwa huyo dada wa Qatar, ila wahudumu wa ndege wameshakutana na mengi atakuwa anajua jinsi ya kuyahandle.
 
Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...
 
Alikaa kimya ila baada ya ule mkutano ndipo akaonyesha kutopenda ikabidi aeleweshwe ule ni utani kwa watanzania ni kitu cha kawaida kwa utani kama ule. Kwa sasa ashazoea maana kwa kipindi hicho alikuwa mgeni na sasa ana zaidi ya miaka 3 huko.
Tamaduni za watu zinatofautiana ndio maana hata kwenye localization hata kama docs ziko kwa kiingereza, bado watatafuta mtanzania azipitie na afanye marekebisho kwasababu language ni culture, kuna maneno mengine humo yanaweza kuwa kwingine kawaida ila kwa jamio fulani ni matusi au huwezi kuyazungumza kwenye kundi la watu.
 
Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.

Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.

1669698507909.png
 
View attachment 2430423
Jamaa alimuelewa huyo hostess
 
Wahudumu wa ndege Wana uzoefu wa kukutana na malimbukeni, so hivi ni vitu vya kawaida kwao.
 
Vitu vingine unaweza dhani unafurahisha baadae ukafurahishwa wewe mizaha isio kua na mipaka anadhani hapo ni bar za sinza unaweza shika makalio mhudumu
 
Kwanza sijui kama alipiga mswaki, bahati nzuri huyo dada alivaa mask. Mweh
 
Alikaa kimya ila baada ya ule mkutano ndipo akaonyesha kutopenda ikabidi aeleweshwe ule ni utani kwa watanzania ni kitu cha kawaida kwa utani kama ule. Kwa sasa ashazoea maana kwa kipindi hicho alikuwa mgeni na sasa ana zaidi ya miaka 3 huko.
Tamaduni za watu zinatofautiana ndio maana hata kwenye localization hata kama docs ziko kwa kiingereza, bado watatafuta mtanzania azipitie na afanye marekebisho kwasababu language ni culture, kuna maneno mengine humo yanaweza kuwa kwingine kawaida ila kwa jamio fulani ni matusi au huwezi kuyazungumza kwenye kundi la watu.
Unapo kuwa katika nchi za watu wewe mgeni ndio una wajibika kufahamu wenyeji wana ishi vipi na tamaduni zao

Sio kazi yangu mimi mwenyeji kujua wewe una ishije nq kutakaje na kwa namna yoyote ile mgeni ana takiwa kuchukua taadhari zote zidi ya mwenyeji kwa vitu qmbavyo sio familliar na yeye
 
Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.

Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.

View attachment 2430423
Ndio hicho ninacho kizungumza... mgeni una takiwa kufahamu taratibu zote zilizopo ktk nchi husika...
 
Back
Top Bottom