Babalevo ambusu mfilipino wa Qatar Airways

Unachosema ni kweli, ila ni vizuri pia ukiwa na wageni ukajua tamaduni zao na kuepuka kufanya yale ambayo yanaweza kuwa taboo kwao.
Ni ustaarabu tu, ndio maana siwezi tembelewa na rafiki yangu mwislamu kwangu halafu nipike kitimoto akiwepo.
 
Japan Kuna timu inaitwa Kumamoto
 

hii ishu naikumbuka vizuri sana, yule jamaa aliteseka sana, kesi yake ilikwenda karibu mwaka hakuruhusiwa kutoka DUbai, na alipoteza hela nyingi kwa maloya na mwisho akafungwa. alikua akiuza Duka la spare za magari hapa DSM.
 
Sexism at top level. Dunia ya sasa, nchi zote zilizoendelea sexism inapigwa vita sana. Magufuli kipindi cha uhai wake angekuwa ni mtu wa kwenda nchi za Ulaya au USA lazima angetuaibisha. Jamaa alikuwa na mtindo wa kutumia wanawake kama chombo chake kikuu cha kutania anapokuwa mbele ya watu. Hata wabongo wengi ambao hawana exposure hili ni tatizo kubwa. Haya mambo unaweza kudhani ni mambo madogo madogo tu lakini impact yake inakwenda mbali, hasa kwenye makuzi ya wanawake. Ni sawa na ile tabia ya wanaume kutania watoto wadogo kabisa wa kike eti ''mchumba''. Au kina mama wengine, hasa uswahilini wakiona mtoto mdogo wa kike ni mrembo wanatania huyu atatuchukulia waume zetu.
 
Watu wengi wajinga huwa wanadhani wakifanya jambo la kijinga wengine wakikaa kimya basi watakuwa wamefurahia.
 
Ndio hicho ninacho kizungumza... mgeni una takiwa kufahamu taratibu zote zilizopo ktk nchi husika...
Nadhani mawazo yako ni ya kijinga kabisa. Sexism ni jambo linalopigwa marufuku duniani kote hivyo mtu yeyote mstaarabu anatakiwa alijue hilo.
 
Ndani ya ndege kwenda QatarView attachment 2430055
Nisha wah kum busu mwingereza. Classmate wangu. Tangia tukio hilo.. hatukuongea tena. Alidai ' I have bff you can't kiss me from nowhere'' na maneno kibao. Mjuba sikujali... Siku moja akanikumbatia njian usiku tukitokitokea club... hapo hapo nikamsukumia asumani kichwa wazi
 
Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...
Daa. This is too low my friend! Mtu mjinga tu ndiye anadhani akifanya jambo la kijinga na watu wengine wakikaa kimya basi amepatia.
 
Huyu Chawa pamoja na kukaa town , yale mambo yake ya Kasulu hajaacha.
 
Usitetee ujinga unawezaje kufanya mzaha na mtu ambae hamfahamiani kisa wewe mwenyeji?
 
Watanzania tuna la kujifunza Hapa,
Sio kila upuuzi Ni wakutafutia kiki
 
hii ishu naikumbuka vizuri sana, yule jamaa aliteseka sana, kesi yake ilikwenda karibu mwaka hakuruhusiwa kutoka DUbai, na alipoteza hela nyingi kwa maloya na mshisho akafungwa. alikua akiuza Duka la spare za magari hapa DSM.
Ujinga Ujinga wa kimasihara unafilisika hivi hivi unajiona[emoji22]
 

Wazungu huwa hawana huo utani,kuna jamaa pia alijuta kumuita mzugu mchumba,,,wabongo wengi ulimbukeni na ushamba vinawasumbua
 
Mbaya zaidi ni kupost picha ya muhudumu bila idhini ya muhusika
 
Sas Dr magufuli ametokea wapi na ishu za Bab level
Unasema magufuli Hana exposure unajuwa magufuli kusoma uk kwa miaka miwili sas Hana exposure gani

Muacheni hyu mzee alumzike jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…