Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
siku ya kwanza kupanda ndege (umenikumusha huu uzi nikiwa bored naufungua kucheka)Ushamba Mzigo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku ya kwanza kupanda ndege (umenikumusha huu uzi nikiwa bored naufungua kucheka)Ushamba Mzigo.
Unachosema ni kweli, ila ni vizuri pia ukiwa na wageni ukajua tamaduni zao na kuepuka kufanya yale ambayo yanaweza kuwa taboo kwao.Unapo kuwa katika nchi za watu wewe mgeni ndio una wajibika kufahamu wenyeji wana ishi vipi na tamaduni zao
Sio kazi yangu mimi mwenyeji kujua wewe una ishije nq kutakaje na kwa namna yoyote ile mgeni ana takiwa kuchukua taadhari zote zidi ya mwenyeji kwa vitu qmbavyo sio familliar na yeye
Japan Kuna timu inaitwa KumamotoTamaduni za watu zinatofautiana ndio maana hata kwenye localization hata kama docs ziko kwa kiingereza, bado watatafuta mtanzania azipitie na afanye marekebisho kwasababu language ni culture, kuna maneno mengine humo yanaweza kuwa kwingine kawaida ila kwa jamio fulani ni matusi au huwezi kuyazungumza kwenye kundi la watu.
Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.
Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.
View attachment 2430423
Sexism at top level. Dunia ya sasa, nchi zote zilizoendelea sexism inapigwa vita sana. Magufuli kipindi cha uhai wake angekuwa ni mtu wa kwenda nchi za Ulaya au USA lazima angetuaibisha. Jamaa alikuwa na mtindo wa kutumia wanawake kama chombo chake kikuu cha kutania anapokuwa mbele ya watu. Hata wabongo wengi ambao hawana exposure hili ni tatizo kubwa. Haya mambo unaweza kudhani ni mambo madogo madogo tu lakini impact yake inakwenda mbali, hasa kwenye makuzi ya wanawake. Ni sawa na ile tabia ya wanaume kutania watoto wadogo kabisa wa kike eti ''mchumba''. Au kina mama wengine, hasa uswahilini wakiona mtoto mdogo wa kike ni mrembo wanatania huyu atatuchukulia waume zetu.Alikaa kimya ila baada ya ule mkutano ndipo akaonyesha kutopenda ikabidi aeleweshwe ule ni utani kwa watanzania ni kitu cha kawaida kwa utani kama ule. Kwa sasa ashazoea maana kwa kipindi hicho alikuwa mgeni na sasa ana zaidi ya miaka 3 huko.
Tamaduni za watu zinatofautiana ndio maana hata kwenye localization hata kama docs ziko kwa kiingereza, bado watatafuta mtanzania azipitie na afanye marekebisho kwasababu language ni culture, kuna maneno mengine humo yanaweza kuwa kwingine kawaida ila kwa jamio fulani ni matusi au huwezi kuyazungumza kwenye kundi la watu.
Watu wengi wajinga huwa wanadhani wakifanya jambo la kijinga wengine wakikaa kimya basi watakuwa wamefurahia.Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.
Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe 🤣 🤣 🤣 🤣 , aliishia kwenda jela.
View attachment 2430423
Nadhani mawazo yako ni ya kijinga kabisa. Sexism ni jambo linalopigwa marufuku duniani kote hivyo mtu yeyote mstaarabu anatakiwa alijue hilo.Ndio hicho ninacho kizungumza... mgeni una takiwa kufahamu taratibu zote zilizopo ktk nchi husika...
Nisha wah kum busu mwingereza. Classmate wangu. Tangia tukio hilo.. hatukuongea tena. Alidai ' I have bff you can't kiss me from nowhere'' na maneno kibao. Mjuba sikujali... Siku moja akanikumbatia njian usiku tukitokitokea club... hapo hapo nikamsukumia asumani kichwa waziNdani ya ndege kwenda QatarView attachment 2430055
Daa. This is too low my friend! Mtu mjinga tu ndiye anadhani akifanya jambo la kijinga na watu wengine wakikaa kimya basi amepatia.Nni alifanya? Kama alikaa kimya ni utani, na kama alichukua hatua basi haukuwa utani...
Usitetee ujinga unawezaje kufanya mzaha na mtu ambae hamfahamiani kisa wewe mwenyeji?Unapo kuwa katika nchi za watu wewe mgeni ndio una wajibika kufahamu wenyeji wana ishi vipi na tamaduni zao
Sio kazi yangu mimi mwenyeji kujua wewe una ishije nq kutakaje na kwa namna yoyote ile mgeni ana takiwa kuchukua taadhari zote zidi ya mwenyeji kwa vitu qmbavyo sio familliar na yeye
Watanzania tuna la kujifunza Hapa,Mtu kukaa kimya haina maana amechukulia poa. Tuna utani mwingi wa kijinga huku kwetu, ambao tukienda maeneo tofauti ni rahisi kuingia matatizoni.
Kuna Mtanzania alimkumbatia na kumpiga busu mhudumu wa Emirates, pengine alidhani yupo Kitambaa cheupe [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] , aliishia kwenda jela.
View attachment 2430423
Ujinga Ujinga wa kimasihara unafilisika hivi hivi unajiona[emoji22]hii ishu naikumbuka vizuri sana, yule jamaa aliteseka sana, kesi yake ilikwenda karibu mwaka hakuruhusiwa kutoka DUbai, na alipoteza hela nyingi kwa maloya na mshisho akafungwa. alikua akiuza Duka la spare za magari hapa DSM.
Ni muhimu sana kujua tamaduni za watu. Siku moja kulikuwa na mkutano kati ya wadhamini wa kikundi cha wanawake na wanawake hao pamoja na wanajamii huko kilimanjaro.
Baba mmoja katika kuchangia, akasema anamwona mwanamama wa kizungu pale hana mume, kama vipi aende amfanye awe mke wa pili.
Kwa mtanzania ule ni utani kutokana na mila zetu, ila kwake yeye aliona kama ame muharass haukuwa utani.
Sina hakika kwa huyo dada wa Qatar, ila wahudumu wa ndege wameshakutana na mengi atakuwa anajua jinsi ya kuyahandle.
Sas Dr magufuli ametokea wapi na ishu za Bab levelSexism at top level. Dunia ya sasa, nchi zote zilizoendelea sexism inapigwa vita sana. Magufuli kipindi cha uhai wake angekuwa ni mtu wa kwenda nchi za Ulaya au USA lazima angetuaibisha. Jamaa alikuwa na mtindo wa kutumia wanawake kama chombo chake kikuu cha kutania anapokuwa mbele ya watu. Hata wabongo wengi ambao hawana exposure hili ni tatizo kubwa. Haya mambo unaweza kudhani ni mambo madogo madogo tu lakini impact yake inakwenda mbali, hasa kwenye makuzi ya wanawake. Ni sawa na ile tabia ya wanaume kutania watoto wadogo kabisa wa kike eti ''mchumba''. Au kina mama wengine, hasa uswahilini wakiona mtoto mdogo wa kike ni mrembo wanatania huyu atatuchukulia waume zetu.
Bab level ashikilwe uko uko huku anatuleteaa keroNdani ya ndege kwenda QatarView attachment 2430055