GE2025 Babalevo kuwawakilisha wananchi katika bunge la Taifa kiingereza hakina nafasi kwa sasa!!

GE2025 Babalevo kuwawakilisha wananchi katika bunge la Taifa kiingereza hakina nafasi kwa sasa!!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Wote wanaoona kiingereza ni kigezo/kikwazo kwa Babalevo kwenda bungeni hawana hoja kwani bungeni kuna wakalimani wa lugha mbalimbali lakini hata hivyo sidhani kama wabunge wa urusi,china,korea,japani,nk wanajadili mambo yao kwa kiingereza?
 
Wote wanaoona kiingereza ni kigezo kwa Babalevo kwenda bungeni hawana hoja kwani bungeni kuna wakalimani wa lugha mbalimbali lakini hata hivyo sidhani kama wabunge wa urusi,china,korea,japani,nk wanajadili mambo yao kwa kiingereza?
Moja ya sifa ni kujua kusoma na kuandika, nyingine ni mbwembwe.
 
mkuu wabongo ni wapumbavu sana, tuna ushamba sana kwa mambo mengi sana. Baba levo kawapa jibu la kihuni muulizaji kaishia kuaibika.
 
Back
Top Bottom