BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Unatoa gari kwa sh ngapi bandarini?Salamu kwenu wanajukwaa.
Huu ni uzi mahususi kwa kile nachokifanya nitakuwa nikishare nanyi kazi nazozifanya kwa kadri nitakavyoweza lengo kuu ni kutoa elimu na kupata connection mpya za kazi.
Karibu sana.
Tanzania shilling 250,000/=Unatoa gari kwa sh ngapi bandarini?
Shipping line wanacalculate vip kupata gharama zao? je ni ziko fixed au wanatumia CBM?Tanzania shilling 250,000/=
Gharama za shipping line sio Fixed. Zinategemea CBM kimsingi cbm inapokuwa ndogo basi shipping line charges zitakuwa ndogo hivyo hivyo port charges zitakuwa ndogo na cbm inapokuwa kubwa basi shipping line charges zitakuwa juu.Shipping line wanacalculate vip kupata gharama zao? je ni ziko fixed au wanatumia CBM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufahamu makadirio ya kodi utakayolipa nenda kwenye search engine mfano google tafuta kitu kinaitwa TRA used motor vehicle valuation system utajaza details za gari unayotaka kujua makadirio yake ya kodi then utacalculate itakuletea kiwango utakachotakiwa kulipa kama kodi.Toyota crown athlete 2010?
Sina uhakika kama taarifa zako nimezijaza kwa usahihi ili kutaka kujithibitishia mwenyewe waweza tembelea website ya TRA search Used motor vehicle valuation system utajaza details za gari unalohitaji utapata makadirio ya kodi.BabaMorgan Naomba kujua 2015 Toyota Hilux double cabin D4D. Kodi yake imekaaje hapo TRA?