BabaMorgan as Clearing and Forwading Agent

BabaMorgan as Clearing and Forwading Agent

Make - TOYOTA
Model - HARRIER
Year- 2006
Cc- 2,360

Gharama
Ushuru Tra - 14,030,992Tshs
Gharama Bandarini - 308,000Tshs
Shipping line - 140,250Tshs

Jumla 14,479,242

Gharama za gari hazijajumuishwa

IMG_20231212_154830_3.jpg
 
Shipping line wanacalculate vip kupata gharama zao? je ni ziko fixed au wanatumia CBM?

Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za shipping line sio Fixed. Zinategemea CBM kimsingi cbm inapokuwa ndogo basi shipping line charges zitakuwa ndogo hivyo hivyo port charges zitakuwa ndogo na cbm inapokuwa kubwa basi shipping line charges zitakuwa juu.

Kuhusu jinsi wanavyozicalculate still natafuta formula yake as far i know CBM pamoja na port mzigo ulipotoka zinaamua kiwango utakacholipa mfano gari lilotoka Dubai charges zake zitakuwa chini compared na mzigo uliotoka Japan.
 
Toyota crown athlete 2010?
Kufahamu makadirio ya kodi utakayolipa nenda kwenye search engine mfano google tafuta kitu kinaitwa TRA used motor vehicle valuation system utajaza details za gari unayotaka kujua makadirio yake ya kodi then utacalculate itakuletea kiwango utakachotakiwa kulipa kama kodi.

Gharama nyingine kwa haraka ni Port charges ambazo kwa makadirio inaweza kurange kwenye 280,000/= mpaka 300,000/= pamoja na shipping charges ambazo inaweza kuwa 130,000/=
 
BabaMorgan Naomba kujua 2015 Toyota Hilux double cabin D4D. Kodi yake imekaaje hapo TRA?
Sina uhakika kama taarifa zako nimezijaza kwa usahihi ili kutaka kujithibitishia mwenyewe waweza tembelea website ya TRA search Used motor vehicle valuation system utajaza details za gari unalohitaji utapata makadirio ya kodi.
Screenshot_20231218-215126.jpg
 
MAKE - TOYOTA
MODEL - SUCCEED
YEAR - 2005
CC - 1490

TOTAL TAXES - 6,595,520
SHIPPING LINE - 113,000
PORT CHARGES - 269,790

TOTAL 6,978,310View attachment 2855501
IMG_20231227_222558_3.jpg
 
Back
Top Bottom