@BabaMorgan The Infinite.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kutokana na wimbi la members wengi kupeana shavu na kujitokeza hadharani bila kuficha hisia zao mpaka kufikia hatua ya kufungua thread especially kuonyesha mapendo kwa watu ambao wanawa admire na Mimi nimekuwa nikisubiri kwa muda mrefu for someone to admire me lakini imekuwa tofauti. But today nafsi yangu imeamua kunipa shavu what a wonderful day.

1 BabaMorgan gentleman, humble, and very caring.

2 Always kill them with kindness

3 Baba, Kaka na mume bora kuwahi kutokea

4. Back in days nilipokuwa college ratiba yangu ilikuwa tight kila mtu alihitaji time yangu coz nilikuwa nawapa maarifa.

5.by the way kuna time najuta kuwa Mimi ila kuna time I really enjoy to be me

Let's drinks up BabaMorgan and I coz this niggas fake and I see too.
 
Usiogope mdogo wangu hao unao ona wana kuwa admired asilimia kubwa huwa wanakuwaga wana ji admire wenyewe with their alternative accounts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…