Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Naona kama anavyodoka anajua kinachompata vile.........kutokana na ule mshangao wake wa kwanza kabla hajadondoka
Aiseeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kama anavyodoka anajua kinachompata vile.........kutokana na ule mshangao wake wa kwanza kabla hajadondoka
madrassa al sul al jihad, huo ni ujenzi wa madrassa ya shehe yahaya
Je, ujenzi huo huko kwenye muda uliopangwa toka mwanzo? Au ni kutaka kuwavutia wapiga kura kwani naona wing mirror ya gari ambalo liko kwenye foreground ina nembo ya CCM. Hii sio miradi ya MCA-T kweli? Tutaona baada ya uchaguzi kama utaendelea kwa kiwango cha rami.
Heheheeee!!!! Kweli Uchaguzi una mambo...
gonga hapo chini