Elections 2010 Babati - Hanang:Hapa Vipi?

Je, ujenzi huo huko kwenye muda uliopangwa toka mwanzo? Au ni kutaka kuwavutia wapiga kura kwani naona wing mirror ya gari ambalo liko kwenye foreground ina nembo ya CCM. Hii sio miradi ya MCA-T kweli? Tutaona baada ya uchaguzi kama utaendelea kwa kiwango cha rami.
 

Fuatilia utapata taarifa kama kweli una uchungu na nchi yako.
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…