Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo.
Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu
Hata hivyo Jeshi la Polisi Mkoani Manyara limefika katika eneo hilo na kuchukua mwili wa marehemu ili kufanya uchunguzi Kwa lengo la kubaini aliyehusika na mauaji hayo ya kikatili.
Soma Pia: Songwe: Mfamasia akutwa amefariki, mwili wadaiwa kuokotwa ukiwa na majeraha