Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo.
Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu