Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Yani jamaa wakati anatimiza miaka 26 ndio mwaka ambao mke wake alikuwa anazaliwa.

Kumbe inawezekana hata mke wangu wa maisha hajaziliwa bado, halafu mimi nahangaika daily na haya manungayembe!!?[emoji16][emoji51][emoji51]
 
Maeneo ya Tarafa ya Mbugwe...Magugu,Magara, Mbuyuni...nk Yana matukio mengi Dana ya kutishatisha!
Sijui kwa nini!
 
Mkuu kesi ipo! Atafungwa kwa kosa la kuua bila kukusudia ambayo adhabu yake ni kufungwa maisha! Na kama angeua kwa kukusudia hapo Kitanzi kingemhusu.
Aisee ,JF no kisima Cha habari na maarifa!😃😃😃
 
Tuacheni mambo ya wake za watu, siku hizi hakuna ustaarabu ule wa zamani kua kuchapiwa ni siri ya ndani.

Watu hawaoni tabu kuua au kujeruhi wanapofumania. Na hasara kubwa unaipata wewe uliefumaniwa, atakatisha maisha yako na yeye ataenda jela ambako ataendelea kuishi na si ajabu hata huko jela asiende wala asikamatwe kabisa.
 
Nafahamu kiasi cha kutosha kujua mtu anayemuua au kumjeruhi mwenzake kwa sababu ya mapenzi ni mhalifu hatari asiyepaswa kukaa uraiani.
Crime of passion ni tofauti. Kutegemea na mazingira. Fuatilia utafahamu.
 
Kesi ipo, atafungwa maisha kwa upuuzi wake.
Haiwezekani:

1. Alikuwa kaenda kukata kuni, so panga hakupanga kuwa nalo.

2. Dhana ya kuvamiwa kwake, sikujua ni mke na mtu, nilijua jambaziz.

3. Insanity, hali aliyokuwa nayo kutokana na kushuhudia tukio.
 
Wabongo bado tuna safari ndefu sana, Yani mtu ameua na Amemkata mkono mkewe bado mnamshabikia, tuna mind set za ajabu kabisa hatuna tofauti na wanyama.
Huyu Jamaa ni muuaji ni hatari kabisa kuendelea kuishi uraiani. Kwani angempa talaka huyo mke akaondoka na Micheal wake angelipungukiwa na nini? Acha akafie jela tu
 
Haiwezekani:

1. Alikuwa kaenda kukata kuni, so panga hakupanga kuwa nalo.

2. Dhana ya kuvamiwa kwake, sikujua ni mke na mtu, nilijua jambaziz.

3. Insanity, hali aliyokuwa nayo kutokana na kushuhudia tukio.
Umemjibu kisheria kabisa, umenikumbusha mbali
 
Haiwezekani:

1. Alikuwa kaenda kukata kuni, so panga hakupanga kuwa nalo.

2. Dhana ya kuvamiwa kwake, sikujua ni mke na mtu, nilijua jambaziz.

3. Insanity, hali aliyokuwa nayo kutokana na kushuhudia tukio.
Insanity lazima ithibitishwe na daktari wa magonjwa ya akili, huwezi ukatenda uharimia halafu ukakimbilia kwamba ulikuwa mwendawazimu.
 
Insanity lazima ithibitishwe na daktari wa magonjwa ya akili, huwezi ukatenda uharimia halafu ukakimbilia kwamba ulikuwa mwendawazimu.

Insanity is just a state of mind, kukuta mke anakunjwa kwenye majani live, that state of mind ni ngumu sana; you do not need a Dr!
 
njia pekee ya pekee ya kupambana na mwizi wako, wala usitumie silaha wala usifanye watu wa jamhuri wajue.

KAMATA MWIZI, MFANYE KAMA ALIVYOKUWA ANAFANYA NA MKEO. usipige picha wala usitangaze!
 
Dah Michael Jackson King of POP ametuangusha sana
...na ina maana MJ wetu wa miaka 25 alishindwa kabisa kujitetea kwa mzee wa makamo wa miaka 48 na kukubali kupigwa tu mapanga hadi kupoteza Uhai? Au ndio yale ya Kunywea na kuwa mdogo kama Piriton unapofumaniwa???
R.I.P Michael Jackson wetu kwa kuwa Nzi uliyefia Kidondani!!!
 
Back
Top Bottom