Elections 2010 Babati vijijini & segerea

Elections 2010 Babati vijijini & segerea

Babasean

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
35
Reaction score
2
wana JF wenzangu naomba nisaidieni na mnijuze matokeo ya majimbo haya kwa yeyote mwenye nayo.

Nawakilisha
 
Mkuu vuta pumzi hadi kesho, bado miyeyusho tu.
 
Subira inahitajika kwenye jimbo la Segerea kwani mafisadi wana'buy time ili wageuze nyekundu kuwa njano kitu ambacho abadan hakiwezekani.
 
Back
Top Bottom