Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

Fukuto limezidi huko ndani... Moshi unaanza kutoka nje .. Hapo hakuna amani tena mpaka transfer zifanyike... Wenye nguvu ndio watabaki.. Lakini ndio mwanzo wa chuki mpya
 
Msije mkageuka baadae na kusema chadema walivalia sare ya ccm.
 
Hawa fisi wakipasuana naona raha kweli wangeuana kabisa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…