denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kwa hili tukio la kukamatwa hao polisi nahisi wanaweza kuwa taasisi mbili tofauti.Hivi police na policcm ni taasisi mbili tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili tukio la kukamatwa hao polisi nahisi wanaweza kuwa taasisi mbili tofauti.Hivi police na policcm ni taasisi mbili tofauti
Fukuto limezidi huko ndani... Moshi unaanza kutoka nje .. Hapo hakuna amani tena mpaka transfer zifanyike... Wenye nguvu ndio watabaki.. Lakini ndio mwanzo wa chuki mpyaKatibu wa CCM Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM wa wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga askari polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea kijiji cha Kirudiki wilayani Babati Desemba 16 saa 11 jioni.
Kamanda Kuzaga alisema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa kwa mateke na fimbobaada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
“Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” alisema kamanda Kuzaga.
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
Kada wa CCM wa mjini Babati mkoani Manyara, Cosmas Masauda, ameeleza kusikitishwa kwa kitendo cha viongozi hao kukamatwa na kupelekwa mahabusu wakiwa kazini.
Masauda alisema mkutano huo ulikuwa na kibali na viongozi hao walikwenda kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa shamba baina ya wanakijiji na mwekezaji.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara, Simon Lulu alisema atazungumzia jsuala hilo baada ya ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumalizika.
“Tumepanga kuwa baada ya ziara ya
Waziri Mkuu Majaliwa ndipo tutazungumza juu ya tukio hilo la viongozi wetu kukamatwa,” alisema Lulu.
Laana ya uchafuzi wa2020Sasa,kwa nini ndugu wanapigana?
Msije mkageuka baadae na kusema chadema walivalia sare ya ccm.Katibu wa CCM Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM wa wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga askari polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea kijiji cha Kirudiki wilayani Babati Desemba 16 saa 11 jioni.
Kamanda Kuzaga alisema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa kwa mateke na fimbobaada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
“Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” alisema kamanda Kuzaga.
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
Kada wa CCM wa mjini Babati mkoani Manyara, Cosmas Masauda, ameeleza kusikitishwa kwa kitendo cha viongozi hao kukamatwa na kupelekwa mahabusu wakiwa kazini.
Masauda alisema mkutano huo ulikuwa na kibali na viongozi hao walikwenda kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa shamba baina ya wanakijiji na mwekezaji.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara, Simon Lulu alisema atazungumzia jsuala hilo baada ya ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumalizika.
“Tumepanga kuwa baada ya ziara ya
Waziri Mkuu Majaliwa ndipo tutazungumza juu ya tukio hilo la viongozi wetu kukamatwa,” alisema Lulu.
Hawa fisi wakipasuana naona raha kweli wangeuana kabisaKatibu wa CCM Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM wa wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga askari polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea kijiji cha Kirudiki wilayani Babati Desemba 16 saa 11 jioni.
Kamanda Kuzaga alisema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa kwa mateke na fimbobaada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
“Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” alisema kamanda Kuzaga.
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
Kada wa CCM wa mjini Babati mkoani Manyara, Cosmas Masauda, ameeleza kusikitishwa kwa kitendo cha viongozi hao kukamatwa na kupelekwa mahabusu wakiwa kazini.
Masauda alisema mkutano huo ulikuwa na kibali na viongozi hao walikwenda kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa shamba baina ya wanakijiji na mwekezaji.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara, Simon Lulu alisema atazungumzia jsuala hilo baada ya ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumalizika.
“Tumepanga kuwa baada ya ziara ya
Waziri Mkuu Majaliwa ndipo tutazungumza juu ya tukio hilo la viongozi wetu kukamatwa,” alisema Lulu.
Ujana wa mchongoMiaka 46 kijana?
Amandla...
We jamaa huna akili. Unapenda kunifuatipia sana. PumbavuUnajiona bonge la mjanja siyo?
Kwani uongo wewe siyo mccm?We jamaa huna akili. Unapenda kunifuatipia sana. Pumbavu
Wameanza kuuana wenyewe kwa wenyeweKatibu wa CCM Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki (52) na Katibu wa jumuiya ya vijana UVCCM wa wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga askari polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea kijiji cha Kirudiki wilayani Babati Desemba 16 saa 11 jioni.
Kamanda Kuzaga alisema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa kwa mateke na fimbobaada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
“Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” alisema kamanda Kuzaga.
Alisema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
Kada wa CCM wa mjini Babati mkoani Manyara, Cosmas Masauda, ameeleza kusikitishwa kwa kitendo cha viongozi hao kukamatwa na kupelekwa mahabusu wakiwa kazini.
Masauda alisema mkutano huo ulikuwa na kibali na viongozi hao walikwenda kwa ajili ya kuzungumzia mgogoro wa shamba baina ya wanakijiji na mwekezaji.
Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Manyara, Simon Lulu alisema atazungumzia jsuala hilo baada ya ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kumalizika.
“Tumepanga kuwa baada ya ziara ya
Waziri Mkuu Majaliwa ndipo tutazungumza juu ya tukio hilo la viongozi wetu kukamatwa,” alisema Lulu.
Ndugu wakipigana chukua jembe ukalime, hao ni kulwa na doto. Hata wakiuana wayamalize kiukoo.Hivi police na policcm ni taasisi mbili tofauti