Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Vijana wawili wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua pundamilia na kumiliki nyara za Serikali. Walikamatwa wakiwa na kichwa cha pundamilia, miguu ya pundamilia, ngozi ya pundamilia, mkia mmoja. Nyama ya pundamilia waliokamatwa nayo ikakadiriwa kuwa na thamani ya Dola 1,200