concrete15
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 882
- 323
Jamani kama kuna mtu mzoefu wa watoto naomba anipe ushauri japo nipunguze mawazo. Ma son ana miaka kama 1.5 michezo anacheza na mchangamfu kweli ila kwenye kula ni shuguli nyingine hali hata kidogo anapenda maji na juisi tu. Na hata ukilazimisha hataki au anapokea na kutema na bado mgogo huwezi sema utatumia hata fimbo kumtishia. uzito wake kwa sasa unashuka kweli kasi kweli na michezo ndo kaongeza maradufu. Mwenye mbinu noamba anisaidie mama yake ashaanza kukata tamaa coz nae muda mwingi yuko kazini na mimi ndo hivyo kazi za kujenga familia so muda tunaopata ni jioni na weekends. mwenye wazo please :confused2: