Babies

Babies

concrete15

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
882
Reaction score
323
Jamani kama kuna mtu mzoefu wa watoto naomba anipe ushauri japo nipunguze mawazo. Ma son ana miaka kama 1.5 michezo anacheza na mchangamfu kweli ila kwenye kula ni shuguli nyingine hali hata kidogo anapenda maji na juisi tu. Na hata ukilazimisha hataki au anapokea na kutema na bado mgogo huwezi sema utatumia hata fimbo kumtishia. uzito wake kwa sasa unashuka kweli kasi kweli na michezo ndo kaongeza maradufu. Mwenye mbinu noamba anisaidie mama yake ashaanza kukata tamaa coz nae muda mwingi yuko kazini na mimi ndo hivyo kazi za kujenga familia so muda tunaopata ni jioni na weekends. mwenye wazo please :confused2:
 
even me but mama yake anakataa coz amemeza dawa ya minyoo hata miezi miwili haijapita bado ila nina mpango wa kumnunulia coz dawa ya minyoo sio sumu kama hakuna basi itatoka empty
 
Jamani kama kuna mtu mzoefu wa watoto naomba anipe ushauri japo nipunguze mawazo. Ma son ana miaka kama 1.5 michezo anacheza na mchangamfu kweli ila kwenye kula ni shuguli nyingine hali hata kidogo anapenda maji na juisi tu. Na hata ukilazimisha hataki au anapokea na kutema na bado mgogo huwezi sema utatumia hata fimbo kumtishia. uzito wake kwa sasa unashuka kweli kasi kweli na michezo ndo kaongeza maradufu. Mwenye mbinu noamba anisaidie mama yake ashaanza kukata tamaa coz nae muda mwingi yuko kazini na mimi ndo hivyo kazi za kujenga familia so muda tunaopata ni jioni na weekends. mwenye wazo please :confused2:

Unapomlisha akikataa jitahidi usionyeshe kujali wala kushtuka. Fanya kumpotezea,baadae kidogo rudia tena kumpa chakula. Kulisha mtoto usiwe na haraka! Halafu kama anapenda fluids labda mjaribu vyakula laini na vya kusaga e.g. Mtori na uji wa lishe,mseto n.k mbona vinatosha kabisa kwa lishe ya mtoto
 
mbinu zote nilishajaribu mfano maziwa anapenda nikawaambia ajaribu kuweka cerelac huko ila akisikia harufu tofauti kidogo tu anakataa, au kuuchanganya uji wake kwenye juice akistuka tu anakataa na hapo agusi tena dah
 
Umejaribu appetizer?

Kumlisha mtoto ni kazi. Zunguka nae nje, imba nyimbo zoteee, ita nyau. Lo?? Sometime huwa natamani kulidunda but ndo hivyo nalipenda more than life.
 
sio suala la kumlazimisha pia kumshawishi, jitahidi kubadilisha aina .za vyakula, pia hata vyombo vya kulia ....
 
Jamani kama kuna mtu mzoefu wa watoto naomba anipe ushauri japo nipunguze mawazo. Ma son ana miaka kama 1.5 michezo anacheza na mchangamfu kweli ila kwenye kula ni shuguli nyingine hali hata kidogo anapenda maji na juisi tu. Na hata ukilazimisha hataki au anapokea na kutema na bado mgogo huwezi sema utatumia hata fimbo kumtishia. uzito wake kwa sasa unashuka kweli kasi kweli na michezo ndo kaongeza maradufu. Mwenye mbinu noamba anisaidie mama yake ashaanza kukata tamaa coz nae muda mwingi yuko kazini na mimi ndo hivyo kazi za kujenga familia so muda tunaopata ni jioni na weekends. mwenye wazo please :confused2:

Pole mkuu ila wakati mwingine upungufu wa vitamins na madini kama iron husababisha mtoto apunguze hamu ya kula na kuathiri ukuaji wake kimwili na kiakili. Mimi pia mtoto wangu alinisumbua lakini baadae nilimpa Forever kids mpaka sasa anadai chakula ukimchelewesha.Kama utahitaji maelezo zaidi na jinsi ya kuipata tuwasiliane
 
ntalifanyia kazi kiongozi

Kumlisha mtoto ni shughuli, inatakiwa umuache afanye mambo yake huku unamfata na chakula chake usimshike unamlisha kidogo kidogo, unazunguka nae hadi anashiba huku anacheza, jaribu iyo mkuu
 
Back
Top Bottom