Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
- Thread starter
-
- #21
soma vizuri comment yangu, nimesema aliyeanza kutoka ni blue but mwanzilishi wa staili ni bablee...kujua kitu sio kutoka mjini kutoka kunahitaji akili na fitna na maarifa mengi sana mjini.. bablee alikua vizuri sana but ndio ivyo tena..nasema hivyo coz hawa watu nawajua vizuri sana toka wapo kwenye harakati za kutoka kimziki.. so blue kila kitu enzi hizo alikua ana-copy and paste kutoka kwa dogo..
haha kweli dogo alilewa sifa na alizidisha utozi na u-bulazaaaa men..talent without brain ni zero... haha hapo kwa diamond umeniacha kidogo ..hehe vipi je unaona amemzidi na king kiba au ni dadamond tuuuu..
Haha yani alitoka Unique kama Fabolous,sasa hapo mkuu mbona sielew maana ya UniqueKweli kabisa Blue aliwahi kutoka mbele na mi naamini kabisa Blue ndiye mmiliki wa style ile ya kuimba na kurap. Jamaa alitoka unique sana kama Fabolous vile.
Tema mate chini wewe. ..huyo bablee kipindi ana kanyimbo kake kizizi alitoa shooting anaonekana kabisa mshamba shapu na ule mkanda aliovaa wenye buckle kama sufuria. ..usimfananishe na byser ambaye alivyotoka aliliteka jijini lote la mzizima na Tanzania kwa ujumlaNilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond
Wote waliokuwa wanaiga staili ya kabyser 'Mr Blue' wamepotea kwenye game
Hahahahahaaa aiseeeHaha yani alitoka Unique kama Fabolous,sasa hapo mkuu mbona sielew maana ya Unique
Khaaaa watu wabaya?Tema mate chini wewe. ..huyo bablee kipindi ana kanyimbo kake kizizi alitoa shooting anaonekana kabisa mshamba shapu na ule mkanda aliovaa wenye buckle kama sufuria. ..usimfananishe na byser ambaye alivyotoka aliliteka jijini lote la mzizima na Tanzania kwa ujumla
mpenzi niondolee hiki kizizi, niondolee kizizi kukupenda wewe nilikizi umukusudia kunipa uchizi, si ungenienzi sio hirizi, kwa kifupi kizizi.
Kumbu kumbu zangu ni kua huyu Bablee alianza kutoka kabla ya Bayser
wapi wewe.. blue mwenyewe alikiri wakati akipambana kutoka alikua anaiba swagga za huyu jamaaHuyo ni kati ya wasanii waliotegemea mgongo wa Bluu kutoka, sasa wanaisoma namba wakati Bluu bado yumo
Style ni ya bablee..blue alikua ana rap ngumuAcheni kutudanganya. Bablee alikuwa anakopi. Ata bob junior kabla hajabadili style, nae alikuwa ni mtumwa wa style ya blue.
Mkuu unamaanisha huyu diamond wa WCB au diamond mwingine?Nilipoona huyu jamaa kasema eti kaiga stle ya bluu nilishangaa mno nadhani bableeni ujana na marafiki ambao niliwahi kumuona nao siku za nyuma...ila ana kipaji kuliko huyo blue na diamond