Mtanzania Mkenya
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 238
- 387
- Thread starter
- #21
soma vizuri comment yangu, nimesema aliyeanza kutoka ni blue but mwanzilishi wa staili ni bablee...kujua kitu sio kutoka mjini kutoka kunahitaji akili na fitna na maarifa mengi sana mjini.. bablee alikua vizuri sana but ndio ivyo tena..nasema hivyo coz hawa watu nawajua vizuri sana toka wapo kwenye harakati za kutoka kimziki.. so blue kila kitu enzi hizo alikua ana-copy and paste kutoka kwa dogo..
Sasa nimekuelewa mkuu. Basi kijana alikuja na ubunifu mzuri sana sema alichelewa kutoka tu.