Babloom Kisauji: Ninaishi kwetu kwa mama yangu

Babloom Kisauji: Ninaishi kwetu kwa mama yangu

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi nakaa kwetu” ~ Kisauji
IMG_3981.jpeg
 
Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi]
Huyu mzee huwa namuona, ameamua kufuata jamii inapenda nini na kuishi humo.

Lakini naamini ana mambo mengi sana kama mzee ameyapitia na huwenda akitulia akaamua kuwa nyuki basi anaweza kututengnezea asali safi sisi vijana.
 
Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu; 4wala aibu wala maneno ya upuzi wala ubishi; hayo hayapendezi; bali afadhali kushukuru. 5Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu. 6Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo na maana; kwa kuwa kwa sababu ya hayo hasira ya Mungu huwajia wana wa uasi. 7Basi msishirikiane nao. 8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; enendeni kama watoto wa nuru, 9kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli; 10mkihakiki ni nini impendezayo Bwana. 11Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee; 12kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena. 13Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru. 14Hivyo husema,
Amka, wewe usinziaye,
Ufufuke katika wafu,
Na Kristo atakuangaza.
Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja....!
 
Hivi huyu ndo alikua ana tajwa na bob junior kwenye nyimbo?
 
Huyu ni nani huko Dar es Salaam?
 
Back
Top Bottom