Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Labda bado hajaona mwenza.Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Huyu mzee huwa namuona, ameamua kufuata jamii inapenda nini na kuishi humo.Ni kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi]
Alishatalakiana na mkewe toka 2010. Sasa hivi yupo singleNa mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Na alivokua na mke pia maisha yalikua hapo kwao?! Daah....anyway kila mtu na maisha yake.Alishatalakiana na mkewe toka 2010. Sasa hivi yupo single
Baba yake ameacha nyumba kadhaa mjini kwa hiyo kaona hamna sababu ya yeye kwenda kujenga au kupangishaNa alivokua na mke pia maisha yalikua hapo kwao?! Daah....anyway kila mtu na maisha yake.
Sio bure anaweza kuwa anatatizo ila kumjuwa binadamu kikamilifu yataka bidiiBaba yake ameacha nyumba kadhaa mjini kwa hiyo kaona hamna sababu ya yeye kwenda kujenga au kupangisha
Itakuwa sio bure there must be something wrong some.where.Baba yake ameacha nyumba kadhaa mjini kwa hiyo kaona hamna sababu ya yeye kwenda kujenga au kupangisha
Empty skullNi kweli naishi kwetu na sioni haya kusema naishi kwa mama yangu kwanini nidanganye? Mimi mnifananishe na kobe au kasa wale si wamezaliwa na nyumba? Kama kwenu hamkuzaliwa na nyumba haya ila mimi nakaa kwetu” ~ Kisauji
View attachment 3127885
Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu; 4wala aibu wala maneno ya upuzi wala ubishi; hayo hayapendezi; bali afadhali kushukuru. 5Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu. 6Mtu asiwadanganye kwa maneno yasiyo na maana; kwa kuwa kwa sababu ya hayo hasira ya Mungu huwajia wana wa uasi. 7Basi msishirikiane nao. 8Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, bali sasa mmekuwa nuru katika Bwana; enendeni kama watoto wa nuru, 9kwa kuwa tunda la nuru ni katika wema wote na haki na kweli; 10mkihakiki ni nini impendezayo Bwana. 11Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee; 12kwa kuwa yanayotendeka kwao kwa siri, ni aibu hata kuyanena. 13Lakini yote yaliyokemewa hudhihirishwa na nuru maana kila kilichodhihirika ni nuru. 14Hivyo husema,Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja....!Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajao?
Mwanamke atakayeweza kuishi na "Babu kisauji" akapimwe akili.Na mke na watoto wake hapo hapo kwao? Au bado hajaoa?