Babu akiri kubebwa na refa dhidi ya QPR

Babu akiri kubebwa na refa dhidi ya QPR

Katika football hayo hutokea. Hata uki recall QPR waliweza kupata ushindi wa 1-0 kwa Chelsea baada ya upendeleo wa dhahiri wa refa. Hii ni incidence moja tu lakini Man walikuwa katika pole position ya ushindi. Kwani Hata hao Man city nao walitakiwa kucheza 10 tangu mapemaaaa lakini kwa mapenzi ya refa alimvumilia balloteli hadi dakika za mwisho.

All in all Man U ni mabingwa. Wanaujua mchezo ni mzunguko wa mechi 38 na wanajipanga siyo wale wanaoshinda mechi moja kubwa na kusubiri nyingine wao wakipoteza wanatafuta jinsi ya kurudi pale walipokuwa. They deserve to be champions due to concistence of results throughout the season.
 
Anzunguzia ya qpr ile ya fulham azungnmz
 
Kama ukiendelea kuwa unabisha kuhusu kubebwa wazi wazi hata kama wewe ni mshabiki wa Man U basi utakuwa umeweka upenzi zaidi kiasi cha kutupa ukweli pembeni..Ashley Young akiwa offside mwanzoni ikachuniwa,aliguswa hakusukumwa ila ali dive kupata penati,haikuwa red card offense,red card ikatolewa.Hata wachambuzi wa Dstv wakakumbushia incidence ya Man vs Fulham,Danny Murphy akinyimwa penati katika incidence iliyo zaidi ya hii ya kujirusha Ashley Young.Maana yeye alikuwa slightly kicked na sio kusukumwa..QPR walipokata rufaa kwa red card nilijua tu watashindwa..na hii ni kwa sababu FA wangeitengua ile red card ingekuwa ni kutudhihirishia ilikuwa ya uongo(zengwe) na hivyo penati ilikuwa zengwe..wasingeweza kufanya hili kwani FA pia inajulikana kama Fergie's Association
 
Akili za kibongo na TFF yenu
 
Kwani man city matajiri wake ni kina nani? si waarabu na waarabu na osama si ndugu zake na waingereza hawataki hata kusikia wao ni hela tu, je man u si wamarekani na wamarekani na waingereza si kaka na dada?.Kwa nyonyote Man City asingeweza pata ubingwa kabisaaaa.Hayo ni maoni yangu.
 
Mkuu, unajua biashara au waongea tu? Uhusiano wa mtu binafsi Ukaufananisha na uhusiano wa nchi kwa nchi una maana gani? Eti unaeema mmiliki wa Man utd ni mmarekani kwa hivyo USA NA UK ni ndugu! Lakini Man city inamilikiwa na mwarabu kwaiyo haipendwi au? Mi naona unaupungufu wa akili kidogo. Osama bin laden ni Msaudia, na msaudia ni Ally wa marekani na israel, na mmarekani anafanya biashara na msaudia ya mafuta na anamsaidia kumpatia ulinzi kabisa! Kwaiyo kijana uhusiano wa osama haungilii kati katika maendeleo ya Man city, wataalam wa soka huko duniani wamekwisha sema, sasa hivi bado muda wa man city kutwaa ubingwa! Haya Liverpool inamilikiwa na mmarekani pia mbona imepitwa na man city?
Na FYI washabiki wa Man utd hawampendi mmiliki wao! Usiongee pumba tu!
 
Back
Top Bottom