*Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi*
*Babu:*Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
*Wajukuu:*Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
*Babu:* Nani?
*Wajukuu:*Wewe!
*Babu:*Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]