Babu ASPIRINE

Babu ASPIRINE

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,584
Reaction score
6,136
Kumbe wee Babu uko juu sana hadi Koffi Olomide akaimba wimbo kukufagilia....

Sawa bana, sisi wengine ngoja tukale tu Mihogo pale Kambi ya Fisi ndani ya Arusha, mitaa ya kwetu...

Hebu angalia na jikumbushe wimbo wako .... Mzinga wa Rumba katika miondoko ya Tcha-Tcho.

 
Last edited by a moderator:
Katika pitapita, nimeona Bibi anayefaa kuwa na Babu yetu kama mke wa Nne. Sijui Babu utachagua yupi katika hawa.....




Mie naona huyu wa Ki-Bluu anakufaa sana maana Wajukuu zako watapenda sana kuja kukutembelea 🙂
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom