Babu Ayubu rudisha pesa za rambirambi ya Masogange mwanae aende shule

Mkuu ukileta ushenzi atakutana nao mwambie mamako anifundishe kuandika maana ndio mwalimu wa wanaume wanaoandika vizuri
Matusi mbona kwangu ni jambo dogo kabisa. Tena tusi ulilotumia ni la kizamani kweli kweli. Lakini haiondoi ukweli kuwa una-straggle kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili! Ulisomea shule gani mpaka ukamaliza huku hujui kuandika? Badala ya kutukana ungeshukuru kuna mtu amekuambia ukweli na urudi darasani. Kama una matusi zaidi nakuruhusu kuongeza!
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu

Nimesikiliza radio moja ya africa mashariki mtuumiwa familia inamlalamikia yeye anadai alimpa dada wa marehemu 1.2 kweli aiingii akilini mtu km masogange rambirambi ya wasanii wote tz na watu wengine wengi walio mpenda masogange watoe 1.2 pekee ata mtaani kwetu tunachanga izo kwa mtu wa kawaida tu ije kuwa kwa Masogange.

Hiyo laana aikuachi salama wewe na huyo mwenzio sijui ndio pili pili rudisheni pesa mtoto akasome muwe mnaona aibu.
 
Kama una ushahidi pesa zilizochangwa zilikuwa zaidi ya walizokabidhiwa wafiwa leta hapa kuliko kupiga ramli
 
Milioni moja mbona nyingi. Kama wewe unaona hazitoshi, hujakatazwa kuongeza.
 
Ukishtakiwa kwa kichafua brand ya babu ayubu utasema umeonewa?.Wanaume wa dar bhana kila mmoja Ni mwandishi wa habari vitu vingine muwe mnamuachia warumi.
Kwaio wewe ni mwanamke wa mkoani au vipi?
 
Ulimwengu auna huruma wandugu inasikitisha Sana mtu mwenye mikono na miguu kula pesa ya yatima ambayo watu kwa huruma zao wamechanga kumsaidia mtoto wa marehemu

Nimesikiliza radio moja ya africa mashariki mtuumiwa familia inamlalamikia yeye anadai alimpa dada wa marehemu 1.2 kweli aiingii akilini mtu km masogange rambirambi ya wasanii wote tz na watu wengine wengi walio mpenda masogange watoe 1.2 pekee ata mtaani kwetu tunachanga izo kwa mtu wa kawaida tu ije kuwa kwa Masogange.

Hiyo laana aikuachi salama wewe na huyo mwenzio sijui ndio pili pili rudisheni pesa mtoto akasome muwe mnaona aibu.

Mkuu twende ukafundishe kiswahili SA
 
Kuandika kwenyewe hujui halafu unaleta malalamiko sehemu isiyohusika. Huyo mkusanya rambi rambi alichaguluwa na JF? Rambi rambi si hutolewa kwa maandishi? Kama walimteua mtu wasiyemwamini basi hilo ni kosa lao na hizo fedha hazitapatikana tena.
Kwani? Nimekwambia naomba kazi utumwa wako wa kuajiriwa peleka huko kalembe mwandiko kwa boss wako mi sina boss ova
 
Matusi mbona kwangu ni jambo dogo kabisa. Tena tusi ulilotumia ni la kizamani kweli kweli. Lakini haiondoi ukweli kuwa una-straggle kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili! Ulisomea shule gani mpaka ukamaliza huku hujui kuandika? Badala ya kutukana ungeshukuru kuna mtu amekuambia ukweli na urudi darasani. Kama una matusi zaidi nakuruhusu kuongeza!
Wew kujua kwako kuandika kumekusaidia kupata ajira inayo kutesa kusubr ulipwe mwisho wa mwezi na mimi sina haja ya kujua kuandika ivi navyo jua vinanitosha kufanya maisha yang usomi wako peleka nyumbani kwako ukusaidie maana jf akuna interview sasa nashangaa unanifanyia usaili na mimi sio mfuasi wa ajira na sio mfuasi wa elimu ya wazungu pesa ndio mpango.
 
Kweli watu tunatofautiana. Watu wanajifunza kuandika ili wafanyiwe interview? Kusingekuwa na interview za kutafuta ajira watu wasingejifunza kuandika? C'mooon pal!
 
Kumradhi mood naomba ulekebishe ni steve nyerere sio babu ayubu naomba radhi
unaambiwa ukweli,unakuwa mkali mkuu..kubali kukosolewa tu. kuandika unajua ila unachanganya herufi 'r' na 'l'.
 
Unahakika ni babu Ayubu? au umeskia umbea huko hata ujaskiza vizur unakimbilia kuanzisha uzi
Screenshot_20190622-141200.png
 
Back
Top Bottom