babu DC......

babu DC......

Mkuu ,in your absence,a lot of water has passed under the bridge,wajukuu zako nilijitahidi kuwalinda kwa ari,kasi na nguvu mpya lakini ilishindikana.
sweetlady kamwacha mzazi mwenzie nitonye kakimbilia kwa bishororo Vin Diesel,kisa vin kajaliwa, Lizzy naye kam dump Nyani Ngabu kenda kwa Gentleman kisa eti anavaa miwani ya bei mbaya AshaDii ndo kabisa baada ya kuolewa na mpemba wa chakechake akajipiga life ban,kisa asiachike klorokwini naye aliiba mke wa mtu akabambwa,anasota segerea , Asprin naye usiseme kajitia fundi wa kukagua niniliyu yake ikanasa kwenye niniliyu ya cacico, Cantalisia naye katoroka kwa babake @ mtambuzi kisa penzi la Rejao,rejao mwenyewe anapiga msuba kwa kwenda mbele.
Babu DC wamjua Erickb52? Huyu ndo supastaa mpya wa jf,nasikia ana niniliyu punda cha mtoto ( alisikika Amyner akisema haya saloon),mamodi nao kufuatia mgomo wa madaktari nao waligoma wakidai @ invisible awaongezee mshahara,yaani we acha tu.

Bonge la ripoti kwa Babu....

My hat off......!!!

Babu DC!!!
 
heeeee......mbavu sina...
:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
Lol we Roulette mbona wataka kutuuzia kesi sie? Mwe hata mimi nimemmiss aisee!

Kumbe MwanajamiiOne una akili sana mjukuu wangu....

Ungekosea ukatumia wingi (prural) kwenye hiyo sentensi basi RR angejinyakulia ujiko wa bandia!!

Hata mie nimewamiss sana!!

Babu DC!!
 
Mkuu ,in your absence,a lot of water has passed under the bridge,wajukuu zako nilijitahidi kuwalinda kwa ari,kasi na nguvu mpya lakini ilishindikana.
sweetlady kamwacha mzazi mwenzie nitonye kakimbilia kwa bishororo Vin Diesel,kisa vin kajaliwa, Lizzy naye kam dump Nyani Ngabu kenda kwa Gentleman kisa eti anavaa miwani ya bei mbaya AshaDii ndo kabisa baada ya kuolewa na mpemba wa chakechake akajipiga life ban,kisa asiachike klorokwini naye aliiba mke wa mtu akabambwa,anasota segerea , Asprin naye usiseme kajitia fundi wa kukagua niniliyu yake ikanasa kwenye niniliyu ya cacico, Cantalisia naye katoroka kwa babake @ mtambuzi kisa penzi la Rejao,rejao mwenyewe anapiga msuba kwa kwenda mbele.
Babu DC wamjua Erickb52? Huyu ndo supastaa mpya wa jf,nasikia ana niniliyu punda cha mtoto ( alisikika Amyner akisema haya saloon),mamodi nao kufuatia mgomo wa madaktari nao waligoma wakidai @ invisible awaongezee mshahara,yaani we acha tu.

Umezeeka vibaya....
 
Nimecheka mpaka nimetengua swaumu yangu lol...... Bishanga wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom