LGE2024 Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
"Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake mmewaachia, vijana mjiandae, mkipiga kura, mkishinda kataeni kunyang'anywa".

Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni akizungumza na wananchi wa mtaa wa Tembo Nyambwela, kata ya Tandika, jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam Novemba 24, 2024 katika mkutano wa kampeni kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…