Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 651 Mar 16, 2011 #1 Kuna wazo kuwa babu wa Loliondo atangaze nia kugombea " Je atapata watakaomuunga mkono?
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Mar 16, 2011 #2 We nenda kapate kikombe chako mapema kabla maji hayajazidi unga!!
PPM JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 838 Reaction score 229 Mar 16, 2011 #3 distazo said: Kuna wazo kuwa babu wa Loliondo atangaze nia kugombea " Je atapata watakaomuunga mkono? Click to expand... Mada kama hizo peleka kwenye magazeti ya udaku (Uwazi na Ijumaa) hapa siyo mahali pake
distazo said: Kuna wazo kuwa babu wa Loliondo atangaze nia kugombea " Je atapata watakaomuunga mkono? Click to expand... Mada kama hizo peleka kwenye magazeti ya udaku (Uwazi na Ijumaa) hapa siyo mahali pake
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Mar 17, 2011 #4 Naunga mkono hoja! BABU FOR 2015....
samora10 JF-Expert Member Joined Jul 21, 2010 Posts 7,602 Reaction score 4,811 Mar 17, 2011 #5 babu si kasema atakufa mwaka huu?
B Bi. Mkora JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 374 Reaction score 60 Mar 17, 2011 #6 Upuuzi mtupu.
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 651 Mar 17, 2011 Thread starter #7 PPM said: Mada kama hizo peleka kwenye magazeti ya udaku (Uwazi na Ijumaa) hapa siyo mahali pake Click to expand... Kwani sasa cha mno nini? au kula kulala!!!!!!!!!!!!!!!!
PPM said: Mada kama hizo peleka kwenye magazeti ya udaku (Uwazi na Ijumaa) hapa siyo mahali pake Click to expand... Kwani sasa cha mno nini? au kula kulala!!!!!!!!!!!!!!!!
Columbus JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 2,002 Reaction score 651 Mar 21, 2011 Thread starter #8 Mr. Zero said: We nenda kapate kikombe chako mapema kabla maji hayajazidi unga!! Click to expand... Ukiwa na mgogoro wa kiafya ndio utajua urais una shirika au unakabidhi kabisa, achana na afya bwana.
Mr. Zero said: We nenda kapate kikombe chako mapema kabla maji hayajazidi unga!! Click to expand... Ukiwa na mgogoro wa kiafya ndio utajua urais una shirika au unakabidhi kabisa, achana na afya bwana.