Babu for Presidency!

Babu for Presidency!

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
651
Kuna wazo kuwa babu wa Loliondo atangaze nia kugombea " Je atapata watakaomuunga mkono?
 
We nenda kapate kikombe chako mapema kabla maji hayajazidi unga!!
 
Mada kama hizo peleka kwenye magazeti ya udaku (Uwazi na Ijumaa) hapa siyo mahali pake
 
Kwani sasa cha mno nini? au kula kulala!!!!!!!!!!!!!!!!
 
We nenda kapate kikombe chako mapema kabla maji hayajazidi unga!!

Ukiwa na mgogoro wa kiafya ndio utajua urais una shirika au unakabidhi kabisa, achana na afya bwana.
 
Back
Top Bottom