Babu kaniambia ili tushinde Leo huko Burundi Kikosi cha Kuanza Taifa Stars kiwe hivi.....

Hata mech ya simba na wamakonde ulikuja na ngojera hizi hizi , mwisho simba wakatolewa

Mpira ni mchezo wa wazi, kama huna maandalizi utapigwa tu
Kushinda sio maandalizi tu. Kunatokana na mambo mengi. KWANI BARCELONA ILIVYOTOLEWA NA LIVERPOOL ilikuwa haina MAANDALIZI?
 
Mohamed Hussein ameitwa lini? hiyo ramli ni uongo

Kwa huu Upumbavu wako nikikuita Mpumbavu nitakuwa nakukosea / nakosea? Una uhakika huyo Mohamed Hussein ' Tshabalala ' hajaitwa Taifa Stars? Angalia Kikosi cha leo hasa wale walioko Benchi je Jina lake halipo? Kuna Watu nikiwa nawadharau hapa Jamvini msiwe mnakasirika au mnaninunia.
 
Game inaonyeshwa ndani ya kishumbusi gani?

Kile ambacho Kampuni yao inaongoza kwa Kuwatoa ' Kafara ' Wafanyakazi wake ambao na Wao pia wanaongoza kwa ' Kurogana ' hadi Kufa Vifo vya ghafla kwa sababu ya Vyeo na Maslahi. Kinaitwa Tabata Media / Tabata Tv Kiongozi.
 
Na mpemba kasemaje?
 
Huyo Shamte sijui kamtoa wapi, uchochoro kasababisha tukojozwe
 
Kile ambacho Kampuni yao inaongoza kwa Kuwatoa ' Kafara ' Wafanyakazi wake ambao na Wao pia wanaongoza kwa ' Kurogana ' hadi Kufa Vifo vya ghafla kwa sababu ya Vyeo na Maslahi. Kinaitwa Tabata Media / Tabata Tv Kiongozi.
Ya kweli haya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…