ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Azam kupitia ZBC na pia kwenye YouTube channel ya FIFA watakua liveGame inaonyeshwa ndani ya kishumbusi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azam kupitia ZBC na pia kwenye YouTube channel ya FIFA watakua liveGame inaonyeshwa ndani ya kishumbusi gani?
Ogopa sana mijitu isiofatilia football HALAFU INAPENDA KUBISHABISHAMohamed Hussein ameitwa lini? hiyo ramli ni uongo
Kushinda sio maandalizi tu. Kunatokana na mambo mengi. KWANI BARCELONA ILIVYOTOLEWA NA LIVERPOOL ilikuwa haina MAANDALIZI?Hata mech ya simba na wamakonde ulikuja na ngojera hizi hizi , mwisho simba wakatolewa
Mpira ni mchezo wa wazi, kama huna maandalizi utapigwa tu
Mohamed Hussein ameitwa lini? hiyo ramli ni uongo
Game inaonyeshwa ndani ya kishumbusi gani?
Na mpemba kasemaje?1. Juma Kaseja / Beno Kakolanya
2. Shomary Kapombe / Hassan Ramadhan Kessy
3. Mohamed Hussein Tshabalala
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude / Mohamed Issa Banka
7. Simon Msuva / Salim Ayei
8. Abubakari Salum / Frank Domayo
9. Abdillahi Yusuph / Idi Nado
10. Mbwana Samatta
11. Ally Ng'anzi / Hassan Dilunga
Kuna Ushindi wa Goli 2 kwa 1 au 1 kwa O katika Kipindi cha Kwanza hivyo tunatakiwa tuwawahi kwani ndiyo Nyota yetu ya Ushindi inavyosema kwa Mchezo wa leo, ila kama hatutashinda ndani ya dakika 45 za Kwanza kwa aina ya Uchawi wa Kufuru ambao Waburundi nao wameufanya ( kwani nao hawatanii na wamejipanga vilivyo ) basi kuna uwezekano wa Taifa Stars ikafungwa Goli / Bao 1 tu.
Hiki Kikosi nilichokitaja hapo naomba Kizingatiwe tafadhali na Watu wa Benchi la Ufundi wapewe haraka asubuhi hii hii na wakifanya tu Mabadiliko basi yawe ni hayo tu ambayo nimeyaweka hapo juu na siyo mengineyo. Huyu ' Babu ' huwa hakosei na hajawahi Kuniangusha hivyo TFF msipuuze bali mlizingatie na muwe makini.
Kila la Kheri.
Na mpemba kasemaje?
Unajua matumizi ya alama ya kuuliza?Nimetaja Mpemba mahala popote pale? Acha Upuuzi tafadhali sawa?
Unajua matumizi ya alama ya kuuliza?
Hata mimi piaHuwa nazitumia kwa ' Wapumbavu ' wa mfano wako.
Ya kweli haya??Kile ambacho Kampuni yao inaongoza kwa Kuwatoa ' Kafara ' Wafanyakazi wake ambao na Wao pia wanaongoza kwa ' Kurogana ' hadi Kufa Vifo vya ghafla kwa sababu ya Vyeo na Maslahi. Kinaitwa Tabata Media / Tabata Tv Kiongozi.
Ya kweli haya??
Huyu sio pacha ni POPOMA mwenyewe kaja kivingineUnamchokoza mwenyewe au unataka apigwe ban huyu pacha wake@Gentamycin maana anafukia mashimo ya pacha mwenzie kwa mada zake changamshi