Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu kesho kuna mchezo wa kukata na shoka baina ya Yanga sc vs mc alger, sasa katika dodoso zangu nimemuuliza mtaalamu mmoja kutoka unguja amenijuza mpaka sasa kwa yeye anavyoona ubao unasoma ni sare ya kufungana.
Anenijuuza kuwa kinyota timu zote hadi hivi sasa zinaoneka zina uwiano sawa.
Japo anadai walonzi wa yanga sc wanapambana kwa udi na uvumba kutafuta bao la ushindi.
Anenijuuza kuwa kinyota timu zote hadi hivi sasa zinaoneka zina uwiano sawa.
Japo anadai walonzi wa yanga sc wanapambana kwa udi na uvumba kutafuta bao la ushindi.