Babu Loliondo (murderer)

Asilimia kubwa walikua wakenya japo mpaka wazungu, wachina, waarabu, wahindi walikua wakimiminika kutoka kila pembe ya dunia actually he's a world's scam
 
huyu mzee ameuwa watu wengi sana .anaistahili kupelekwa international crimal court.(icc).in my opinion. wana jf whats your take on this Oldman and his fake medicine # loliondo genocide
Ashtakiwe kwa ujinga wenu? Kwani aliwafuata nyumbani kwenu akawalazimisha kunywa? Mlienda wenyewe na mkachagua kuamini kwamba kikombe kitawaponya. Now deal with it!
 
Hata Kenya pia kuna washamba wengi. Ila sio asilimia kubwa kama Tz, ambapo hata watu wenye Phd zao za 'Chemistry' walipigwa kiboko cha mfukoni na Profesa Ambilikile Mwaisapile Mwakikombile. [emoji23]
I repeat Kenyans came in drones
 
Ni kumuonea tu babu wa watu kwa hizi kashfa,

Sikuona sehemu huyo babu akiwa na mgambo au kikundi kilichokuwa kikiwabeba watu kwa nguvu kwenda kwake.

Wote walioenda pale walienda kwa utashi wao na udhaifu wa Serikali yao iliyoruhusu kuendelea kwa tiba hiyo.

Usemi wa "wajinga ndio waliwao" haujaanza kipindi hicho na hautaishia kwa aliyowafanyia Mzee Mwasapile.
 
Una ushahidi upi wa kibiolojia kuwa dawa yake imeua watu?
Siyo dawa yake kuua, bali saikolojia yake ndiyo iliyoua watu kihalaiki. Ni sawa na manabii feki, wanaoaminisha waumini wao kuacha dawa na kisha kuishi kwa maombi, matokeo yake yanafanana.
 
But many Kenyans r foolish!
Kenyans didn't construct a road to Babu wa Loliondo's gate, so that people could access his 'magic' with ease. This man and his fellow 'wise experts' in the government of that era did.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…