Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashtakiwe kwa ujinga wenu? Kwani aliwafuata nyumbani kwenu akawalazimisha kunywa? Mlienda wenyewe na mkachagua kuamini kwamba kikombe kitawaponya. Now deal with it!huyu mzee ameuwa watu wengi sana .anaistahili kupelekwa international crimal court.(icc).in my opinion. wana jf whats your take on this Oldman and his fake medicine # loliondo genocide
I repeat Kenyans came in dronesHata Kenya pia kuna washamba wengi. Ila sio asilimia kubwa kama Tz, ambapo hata watu wenye Phd zao za 'Chemistry' walipigwa kiboko cha mfukoni na Profesa Ambilikile Mwaisapile Mwakikombile. [emoji23]
I repeat Kenyans came in drones
Napita njia ....I insist, only FOOLISH Kenyans visited Babu wa Loliondo.
But many Kenyans r foolish!I insist, only FOOLISH Kenyans visited Babu wa Loliondo.
Siyo dawa yake kuua, bali saikolojia yake ndiyo iliyoua watu kihalaiki. Ni sawa na manabii feki, wanaoaminisha waumini wao kuacha dawa na kisha kuishi kwa maombi, matokeo yake yanafanana.Una ushahidi upi wa kibiolojia kuwa dawa yake imeua watu?
Ujinga wa watu ndio unagharimu. Ukiona mtu kaacha dozi ujue huyo ni MPUMBAVU.Siyo dawa yake kuua, bali saikolojia yake ndiyo iliyoua watu kihalaiki. Ni sawa na manabii feki, wanaoaminisha waumini wao kuacha dawa na kisha kuishi kwa maombi, matokeo yake yanafanana.
Mkuu jamaa katupa jiwe gizani na limejeruhi mtu!Hilo jambo linakupea nyege sana
Kenyans didn't construct a road to Babu wa Loliondo's gate, so that people could access his 'magic' with ease. This man and his fellow 'wise experts' in the government of that era did.But many Kenyans r foolish!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba kwa sasa wana hasira nae kali sana.Alikula pesa nyingi za Wakenya
Kila mtu alienda mwenyeweWalibugia kikombe cha babu wao wenyewe kwa hiari yao, wala hamna yeyote aliyewashurutisha. Akili ni nywele..... Case closed. Neeext!![]()
Hi beautiful...🌷💕💕🌷😊😊Nimekumbuka mbali sanaa