Babu Loliondo (murderer)

Babu Loliondo (murderer)

huska

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2019
Posts
292
Reaction score
336
huyu mzee ameuwa watu wengi sana .anaistahili kupelekwa international crimal court.(icc).in my opinion. wana jf whats your take on this Oldman and his fake medicine # loliondo genocide
 
12036961_1650927855197025_3723430997684413065_n.jpg
Walibugia kikombe cha babu wao wenyewe kwa hiari yao, wala hamna yeyote aliyewashurutisha. Akili ni nywele..... Case closed. Neeext!
 
sina ushahidi wa ivo ila aliwazuia watu waliyokuwa na virusi vya Hiv kutumia Arvs na aliwashauri kutumia dawa yake(maji yenye rangi ya kijani ).Iyo hatua ya kuwazuia kutumia dawa ya Arvs ilisababisha vifo vyao.
Hakuzuia mtu kuacha kutumia dawa nyingine.
Tena alisisitiza kuhusu kutoacha.
Fanya kumbukumbu vizuri.
 
sina ushahidi wa ivo ila aliwazuia watu waliyokuwa na virusi vya Hiv kutumia Arvs na aliwashauri kutumia dawa yake(maji yenye rangi ya kijani ).Iyo hatua ya kuwazuia kutumia dawa ya Arvs ilisababisha vifo vyao.
Acha kuongea ugoro wenye mchanganyiko na utumbo.

Aliyeacha dawa hospitalini na kwenda kunywa hiyo dawa na huyo babu nani mjinga?

Kwani wewe uko kwenye hatua zipi maana nawezakuwa nabishana na mtu aliyeacha dawa na kwenda kunywa maji ya mkonge.
 
Wa kulaumiwa ni serikali yenu iliyojaa hulka za kishirikina, maana wakuu wa nchi waliidhinisha matumizi ya hicho kikombe cha mzee.
Ifahamike wanasayansi wote, madakatari, watafiti na wataalam wote huwa chini ya serikali, hivyo mawaziri wakionekana kutoa msimamo wowote, inabidi jamii iwaamini maana kila walisemalo ni sera iliyofanyiwa utafiti.
Sasa kwa serikali za Kiafrika hususan yenu hiyo, huwa mnaendeshwa bila kuzingatia sera, kila mtu anatamka lake bila kuhojiwa, Unakuta mkuu wa nchi hata anawaambia mawaziri wawe wanavuta bangi kidogo ili wapate hasira ya kuendesha mambo, ndio hapo unaona mawaziri kama akina Lugola wanafanya vituko vya kiajabu ajabu.

Kila mkielekea kwenye uchaguzi ndio albino huchinjwa wengi, maana wagombea nyadhifa tofauti wanaamini sana katika ushirikina na kwamba wakichinja albino, itawapa ushindi, sasa kwa hali kama hiyo nchi inaishia kuongozwa na watu wenye imani za kiajabu.
 
Alikula pesa nyingi za Wakenya
Hata Kenya pia kuna washamba wengi. Ila sio asilimia kubwa kama Tz, ambapo hata watu wenye Phd zao za 'Chemistry' walipigwa kiboko cha mfukoni na Profesa Ambilikile Mwaisapile Mwakikombile. [emoji23]
 
Back
Top Bottom