ludoking Senior Member Joined Oct 5, 2008 Posts 124 Reaction score 71 Mar 28, 2013 #1 Bubu ndani ya mahakama!alipoulizwa jina lake alijishika koo na sehemu zake nyeti,Hakimu akakasilika kwanini? bubu anatania mahakama.Ikabidi atafutwe mtaalamu wa lugha za mabubu akasema kuwa jina lake ni Kombo!!
Bubu ndani ya mahakama!alipoulizwa jina lake alijishika koo na sehemu zake nyeti,Hakimu akakasilika kwanini? bubu anatania mahakama.Ikabidi atafutwe mtaalamu wa lugha za mabubu akasema kuwa jina lake ni Kombo!!