Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili;
Kao : Mzee shikamoo,
Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?
Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu,
Oka : Uliza tu Mjukuu.
Kao : Tupo wawili tu hapa maana sioni wengine wakufanana na sisi?
Oka : Mjukuu Naona umekua, ni juzi tu hapa mbegu yako imedondoshwa na ndege hapa. Nikujibu swali lako hatupo peke yetu tupo wengi, Ila hapa tulipo wengi wamekatwa.
Oka : mmmmh..!!!!! Kwanini wewe haujakatwa?
Kao : Mjukuu Kuna mambo mengi haufahamu nipe sikio nikujuze, wewe una miaka mitatu Mimi Nina miaka themanini. Hapa nilipo ndio ilikuwa sehemu ya kutambikia hawa binadamu, wanapaheshimu kwa sababu wakinikata watamuuzi mungu na mizimu yao. Wenzangu wote waliokuwa maeneo haya walishakatwa na wakimuona mwingine ameota hapa wanamkata.
Oka : Wakitukata wote tukaisha Nini kitatokea?
Kao : Balaa zito kitatokea mjuu wangu, sitamani siku hiyo ifike.
Oka : Ni Balaa gani?.
Kao : Sijui nianzie wapi mjukuu wangu, Ila tambua kutakuwa na ukame wa kutisha,Mvua zitakosekana,Majanga ya asili Kama vimbunga vitaongezeka, Mafuriko,mmomonyoko wa udongo,Kuongezeka kwa hewa ya ukaa angani, Mabadiliko ya tabia ya nchi na pia Binadamu watakufa na kutoweka kabisa kwa baadhi ya viumbe hai.
Oka : Yakitokea yote hayo binadamu wataishije?.
Kao : Mjuu wahenga walisema "kuwa uyaone", Binadamu hawawezi kuishi bila sisi kwa sababu tunategemeana.
Oka : Sasa yeye hayajui hayo? Mbona wanazidi kutukata!!!
Kao : Kiburi chake tu, Anayajua vizuri Ila huwa anapenda kuchukua tahadhari Madhara yakishakuwa makubwa.
Oka : Mzee kuna wenzetu wanafahamika Sana Africa, yaani ni miti maarufu?
Kao : Ndio wapo Tena wanaheshimiwa sana na binadamu Ila bado anawakata, Kama Baobab,fever tree,Sausage tree,Leadwood,Marula Tree, Whistling thin,Mopane tree na wengine wengi .
Oka : Sasa Kati ya hao binadamu hakuna wakututetea?
Kao : Wapo lakini sauti zao hazitisho, na Elimu inayotelwa haitiliwi mkazo Pamoja na Sheria anazoweka zinampendelea yeye kuliko sisi.
Oka : Wakina Nani hao watetezi wetu?
Kao : Alikuwepo marehemu Wangari Mathai, Greta, DiCaprio.
Oka : Ni hao tu ?
Kao : Pia yapo mashirika mbali mbali ya kiraia, na jamii mbalimbali Kama Indigenous People of Amazon nao Ni watetezi wetu.
Oka : kwani umuhimu wetu Ni Nini?
Kao : Mjukuu, Sisi ndio mapafu ya Dunia.
Oka : Mapafu ya Dunia!!!
Kao : Ndio Mjuu,bila sisi hakuna hii oxygen wanayovuta binadamu na wanyama,pia sisi tunazuia upepo na vimbunga,tunazuia mmomonyoko wa udongo, dawa za binadamu zinatoka na baadhi ya miti, Mbao zinatokana na sisi, sisi Ni makazi ya viumbe hai Kama wanyama na ndege, tunaleta Mvua, na pia kupitia sisi Dunia inakuwa na Hali nzuri ya hewa.
Oka : Je, Kuna sehemu Kuna miti mingi binadamu anazuia isikatwe?,
Kao : Sehemu zenye miti Sana zipo na ndio pepo yetu hapa Duniani, Ila binadamu ameshaanza uhalibifu ipo sehemu inaitwa Amazon inapatika Misitu ya Amazon ipo bara la Amaerika kusini, pia ipo Misitu ya kongo nayo uhalibifu ni mkubwa. Yapo pia mapori ya akiba na misitu ya serikali, pia Kuna Misitu ya kupandwa na binadamu.
Oka : Ina maana sisi tunaisha kwa kukatwa tu?
Kao : Hapana Mjukuu, ukataji holera ndio unachangia pakubwa kutoweka kwetu, pia Mabadiliko ya tabia ya nchi yanatuathili na sisi maana kuongezeka kwa joto Kuna chochea mioto ya misituni na vichaka.
Oka : Mzee umeongea mengi, je hakuna jitihada za kutulinda?
Kao : Mataifa tajiri yametoa ahadi ya Dola billion Mia moja kwa ajairi ya kukabiliana na Athari za tabia ya nchi ili kupunguza hewa ya ukaa angani inayoathiri Ozone layer. Pia zipo juhudi mbalimbali Kama upandaji wa miti, Elimu inayotelewa na vyombo vya habari na mitandao ya kijamii n.k
Oka : Asante Babu kwa Elimu, wale Binadamu wameshika nini?
Kao : Ile wameshika ndio inayituangamiza inaitwa chainsaw (msumeno) wanakuja uelekeo huu, nahofia isiwe ni kwako.
Oka : Nifanyeje ili wasinikate?
Kao : huna Cha kufanya kuzuia, Ila unaweza kudondosho mbegu zako kuhakikisha DNA yako haipotei, maana wanatakuja wanyama na ndege watazimeza wataenda kudondosha mahali pengine na uzao wako utakuwa maradufu .
Oka : Babu nitetee........
Ukasisikika mlio Tiiiiiiiiiiii
Kao : Nimebaki peke yange Tena.
Mother nature is never forgiving
Utangulizi huu ilikuwa kuangazia jinsi tatizo la uharibifu wa mazingira linavyo hatarishi hasa kwa Uhai wa viumbe hai na mimea. Mimi naamini mimea ingekuwa inazungumza Basi Basi mazungumzo haya Kati ya kao na oka yangekuwa ni miongoni mwa mazungumzo yao.
Athari zitokanozo na uharibifu wa mazingira
Shughuri za binadamu Kama ukataji wa misitu,uchimbaji wa madini,viwanda hasa vinavyotumia makaa ya mawe,upanukaji wa miji n.k vimepelekea kwa kiasi kuongezeka kwa athari za mazingira ambayo pia huchochea Mabadiliko ya tabia ya nchi na hizi ni miongoni mwa athari zake;

- Kuongezeka kwa joto Duniani mfano Bara Europa(ulaya) kwa baadhi nchi joto limefika nyuzi joto 40(temperature over 40 degree) mfano jarida la DW walitoa habari kuangazia kuongeze kwa joto ulaya June 2022 European heat wave. Nchi ya uingereza joto lilifika Hadi nyuzi joto 40(Over 40 temperature degree).
- Pia kuongezeka kwa kina Cha bahari na fukwe pia ni moja ya athari za Tabia ya nchi. Kuyeyuka kwa barafu(Glaciers) pia kumezua taharuki miongoni mwa mataifa kwani ni kiashiria Cha hatari huko tuendako mfano jarida World wild life (WWF) liliwahi kuangazia kuyeyuka kwa barafu kunavyotishia kutoweka kwa baadhi ya wanyama, Pia jarida la National Geographic liliwahi kuongazia kuyeyuka kwa barafu ambayo imekuwepo kwa maelfu ya miaka kwa mapana yake.
- Mioto ya misituni mfano Marekani Jimbo la California kumepelipotiwa visa vingi vya Moto ambao umekuwa ukisumbua Kila kiangazi mwa miaka kadhaa. Huko Australia hivi karibuni kulilipotiwa mioto ya misituni amabayo iliyeketeza makazi ya watu na kutishia kutoweka kwa viumbe hai. Mfano habari hii imeyoripotiwa na na kituo Cha television Cha ABC kimeonesha jinsi athari ya mioto ya misituni Jimbo la California ilivyokubwa.
- Ukame na upungufu wa mvua, baadhi ya maeneo yameshuhudia ukame wa kutisha na kupelekea Shughuri za kibinadamu kuzorota Kama Shughuri za kilimo na mifugo, pia kukauka kwa vyanzo vya maji Kama Mito na maziwa. Mfano ukame katika pembe ya Afrika umepelekea baa la njaa na utapiamlo(malnutrition), Umoja wa mataifa iliwahi kutoa tahadhari ukame unavyo hatarisha maisha ya watu milioni 13 katika pembe ya Afrika United Nations (Kupitia habari hiyo iliyo kolezwa na wino wa bluu)
Upvote
7