ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watakuwa walirudi kwao CongoNaona hii familia imeamua ipotee kabisa kwenye masuala yao ya muziki. Siku hizi siwasikii kabisa kwenye media! Siyo huyo Babu Seya, wala mtoto wake Papi Kocha.
Sent using Jamii Forums mobile app