nsharighe
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 1,441
- 2,220
Habari wanajamvi.
Leo tumeshuhudia kuachiwa huru kwa Wanamuziki maarufu nchini waliokuaa wakitumikia adhabu ya kifungo cha Maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka na kulawiti watoto.
Babu Seya na mwanae Papii Kocha kwa msamaha wa Rais Magufuli leo wapo huru,
Habari nilizonazo kutoka kwa kiongozi mwandamizi wa Chama cha mapinduzi ni kwamna, wawili hao Baba na Mwana wanaenda kurithi nafasi ilioachwa na Hayati Captain Komba pale T. O. T band,
Kuelekea uchaguzi mkuu, kwa kuanza na uchaguzi mdogo Babu Seya na mwanae watatunga nyimbo zs kusifu na kutoa hamasa kwa chama cha mapinduzi..
Ni hayo tu.