Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JamiiForums |The Home of Great Thinkers > Public Forums > Jokes/Utani + Udaku/Gossips
Breaking News: Babu seya na wanawe waachiwa Kuna mdau kanitumia sms toka bongo kwamba babu seya na wanawe wameeachiwa huru jana saa tatu usiku, Je kuna mwenye habari ?
Tufahamishane wazee
Regards
Ebu kwanza muulize huyo aliyekutumia sms akupe uhakika kabla ya kumwaga hapa kwenye forum. Tuna mambo mengi ya kujadili kuhusu msuitakabali wa maendeleo yetu na nchi yetu si tena tuanze kujadili udaku. Be serious!!!
Saa tatu usiku! You must be crazy
Kuna mdau kanitumia sms toka bongo kwamba babu seya na wanawe wameeachiwa