Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Una uhakika gani kuwa ni wabakaji? Hebu tufafanulie plz.Justifications!
Sasa unasubiri nini,ina maana hujaelewa hapo juu au?Jamani nasubiri kwa hamu kinachotokea leo mahakamani
Huyu mzee tapeli kweli! Ningemwona wa maana kama angeanza kujitibu UKIMWI wake. Mijipu imetamalaki usoni hadi kendeni afu anatuletea porojo za alinacha.
haingi akilini baba na watoto 3 mnapanga foleni kubaka watoto kwa kupokezana mchana kweupe na watoto wengine wakiangalia wenzao wanavyofanyiwa hata majirani wasisikie kelele za watoto wakilia, na mwalimu aliekuwa anawapeleka hao wanafunzi mbona aliachiwa kuwa hana hatia!!!!
Kumbuka sio wote waingia ao jela wanahatia elewa hilo ukisha likubali hilo ndipo utakalikubali na hili la babu seya na familia yake!!
Anaweza kumuachia yeyote maana yuko juu ya sheria wala habanwi na sheria za nchi hii!katika Jamhuri kosa kubwa kuliko yote ni kosa la uhaini, na kama nakumbuka vyema mzee Mwinyi aliwahi kuwasamehe , jamaa fulani hivi waliohusika na tukio la UHAINI la mwaka 1984....kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, nasema mfano huo kwasababu naamini hakuna mkosaji ambae Rais wa Jamuhuri hana uwezo wa kusamehe......kama nakosea nipo tayari kupokea maoni ya kisheria juu ya hili kwaajili ya kujifunza.
Mwinyi siku chache kabla ya kuondoka Urahisi aliwaachia huru wale jamaa waliovunja bucha za kiti moto. Je alishauriwa hivyo na parole board?Hana mamlaka
Tutaongea sana na sana.... lakini tukumbuke kitu kimoja tu, hii kitu wengi walisema imepangwa!!! na kama kweli ilipangwa basi nasema tena kwa uhakika kwamba kuna mtu atavunja ukimya na ukweli utajulikana
wachache tunakumbuka jinsi baa la njaa la ethiopia linavyohusishwa na mateso ya haile sellasie... maafa ya rwanda, laana za congo etc.
damu ya mtu haiendi bure!!
Waache Wafu wazike wafu wao!.Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo
with regards and respect.
===================
ONLINE REPORTER,
11th February 2010
Daily News
THE Court of Appeal has sustained both conviction and life imprisonment sentence against Nguza Viking and Papii Nguza for raping minors, but acquitted Nguza Mbangu and Francis Nguza of the charges.
Nguza Viking alias Babu Seya and his three sons, were serving life jail terms for raping and sodomising minors about seven years ago.
The rulling which was read this morning for two hours by Deputy Registrar of the court, Ms Neema Chusi, turned the court into a furneral like situation, whereby the three appellants, together with their relatives cried loudly.
Papii Nguza is the only one that did not cry.
The appeal was heard by Justices Nathalia Kimaro, Mbarouk Mbarouk and Salum Massati. Advocates Mabere Marando and Hamidu Mbwezeleni, represented the appellants.
MORE DETAILS TO COME
....kama kwa hakika aliyesuka huu mpango kama ni kweli[nasikia chanzo wivu wa mapenzi]......basi..hawa walioachiwa maisha yao yako hatarini...wanaweza kuwa extraminated ...kama watataka kuuza story yao kuhusu ukweli wa kilichokumba familia yao especially kwa mwaka kama huu 2010...washone midomoo!!..story yao worthy miillions of shillings...